CRDB tayari?Crdb tayari ngoja nikale supu sasa mimi sio wa kula mihogo
Na mimi tayari tena saa 0947 tukutane tarehe tajwa.NMB tayari, tukutane March 23
Me piaMimi nmb ila mpaka sasa bilabila
Tusubiri tu, labda tutakumbukwaMe pia
Ni ajira mpya kaka au mkongwe?Mimi nmb ila mpaka sasa bilabila
Mkongwe. Nashkuru wameweka saivNi ajira mpya kaka au mkongwe?
Mm mwenyew nina afu3 mia 2 NMB
TayariCRDB tayari?
Mi badoooTayari
0-0CRDB vipi huko, huku bilabila
duh watatuua hapa hata nauli ya kwenda Kazini naungaunga
Lakini ni a ndugu wa CRDB ame confirm kulipwaduh watatuua hapa hata nauli ya kwenda Kazini naungaunga
sijapata meseji ngoja tusubiriLakini ni a ndugu wa CRDB ame confirm kulipwa
Kwako imeingia saa ngapi?Crdb imeingia ila text hawaja cofirm