Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Wakuu habarini, samahani nawezaje kujua makato ninayokatwa kwenye mshahara wangu...I mean basic ipoje na makato gani nakatwa.
 
Siku 3 hadi 5 baada ya kupokea salary yako ingis ESS ushushe Salary slip yako ugapata mchanganuo wote Mkuu
 
Jamani mshahara tayari tena wameongeza kama 8,000.
20250925_140721.jpg
 
Back
Top Bottom