Southern Giant
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 931
- 1,910
bank ganiKumbe pesa imeingia toka asubuhi nasijui
bank ganiKumbe pesa imeingia toka asubuhi nasijui
Sio haba ; umema na maji fresh ,na kilo kadhaa za mchele hapo..Maisha haya haya.Naona makato ya HESLB yameongezeka kwa 13,500 kwangu. Kama hiyo ni asilimia 15 ya ongezeko bas nimeongezewa 90,000/= kwenye basic
Kwanini unashinda humu?Njagu mshapata salary punje zenu
KabisaaaaNjagu mshapata salary punje zenu
Lini umeanza hii tabia ya kuwapa watu presha mkuuKumbe pesa imeingia toka asubuhi nasijui
Nmbbank gani
Najuq hamuamin ila now ndio mtu kanisanua baada ya kulipaLini umeanza hii tabia ya kuwapa watu presha mkuu
Hongera
😂Hongera
Ok mzee na sijui leo tujiandae kuelekezwa pishi ganiNajuq hamuamin ila now ndio mtu kanisanua baada ya kulipa
Egg chopOk mzee na sijui leo tujiandae kuelekezwa pishi gani
Njoo KB tegeta nikununulie biaKabisaaaa
Vya bure kudojoraNjoo KB tegeta nikununulie bia
Tusipokua wahindi mwaka huuEgg chop
Mkuu huyu jamaa anakuonajeVya bure kudojora
Af mm mwanaume tafuta mwanamke umnunulie mkuu
Ahaha mchague ninyi tu tubaki kuwa watz au wahindi 😂Tusipokua wahindi mwaka huu
Achana nae yupo kutafuta ugomvi angalia comment zake since morngMkuu huyu jamaa anakuonaje
Kweli mkuu , huyu jamaa ni ovyoAchana nae yupo kutafuta ugomvi angalia comment zake since morng
Kabisa90,000 sio haba