Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,404
- 103,888
😁😁 Maisha magumu sana aiseeKama Mungu anavyotajwa mara kwa mara kanisani ndivyo hivyo hivyo Mad Max anavyotanjwa kwenye huu uzi... Mwamba ana ufalme wake hapa
😁😁 Maisha magumu sana aiseeKama Mungu anavyotajwa mara kwa mara kanisani ndivyo hivyo hivyo Mad Max anavyotanjwa kwenye huu uzi... Mwamba ana ufalme wake hapa
Haunaga data fake kaka. Kuna dalili kesho au Ijumaa?Si kweli. Unarusha watu roho tu.
Hahahahaahaa ndio tarehe izi🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huu uzi naupendaga sana yani muda kama huu uzi unapata uhai ila wakipokea tu unatelekezwa mthiri ya wabunge na wapiga kura wao.
Hakuna namnaTarehe zetu.....
Mpaka sasa sijapata taarifa yoyote mkuu.Haunaga data fake kaka. Kuna dalili kesho au Ijumaa?
Nishaagiza kuku kabisa nimeahidi kulipa jioni.Leo toka na kadi ya benki kabisa.
Lini mshahara ulitoka tar 22 ,ukiacha vipindi vya sikukuu flaniNishaagiza kuku kabisa nimeahidi kulipa jioni.
Mara kibao tuLini mshahara ulitoka tar 22 ,ukiacha vipindi vya sikukuu flani
Hajui uyo...tena kuna mwez ulitoka jmos ya tarehe 22...Mara kibao tu
Kesho ndio siku ya uhakika tukipata leo ni bahati nzuriBado bila bila wakuu
DahKesho ndio siku ya uhakika tukipata leo ni bahati nzuri
😂😂😂😂 Huu uzi bwana.Chuma inatembelea rim