Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Kuhamisha pesa kama laki tano wanatoza kiasi gani mkuu?
inategemea unahamisha kwenda wapi.

- kuhamisha kwenda bank account ya mtu mwingine (hata kama ni bank tofauti) ni kama 1500 hivi.

- kuhamisha kwenda mobile money hapo usiombe, makato ni hatari. Makato yake ni sawa umeenda kwa wakala kutoa 500,000 kwenye Mpesa yako.
 
PXL_20250501_070757531.jpg
 
Back
Top Bottom