Polisi wameshapata kabda ya pasaka
Mateso bila chukisi mnajifanya no reform hya sasa mtakula mlikopeleka mboga
Hawajapata labda polisi wa Kenya,wamekula pasaka vizuri tu.Sio kweli mpaka sasa bado hawajapata usiongee jambo ambalo huna uhakika nalo
Oya 😅Kubonyeza Enter tu anaona shida
Angalia asijekukugeuzia kibao akakutupa lupangoKuna polisi wa kike namdai hela yangu. Vipi, tayari huko? 😩
hujui kituHawajapata labda polisi wa Kenya,wamekula pasaka vizuri tu.
Mkuu tunaishi kambini acha kudanganya watuHawajapata labda polisi wa Kenya,wamekula pasaka vizuri tu.
Unapata faida gani??Tayari..mkalipe madeni sasa
Ni kweli mkuu..utapata msg soon.Unapata faida gani??
Kwako??Ni kweli mkuu..utapata msg soon.
Tayari..Kwako??