Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,137
- 102,906
Basi wanaingiza kwa mafungu sanaHatimaye CRDB imoo
Tukutane May 23.
Basi wanaingiza kwa mafungu sanaHatimaye CRDB imoo
Tukutane May 23.
Tayari wameweka,kenge sana hawa watu
Inawezekana kwake tayari, hiyo inatokea.Acha uongo wa kijinga bas,hakuna kitu
Uongo haiwezi kuingia kwake tuInawezekana kwake tayari, hiyo inatokea.
Inawezekana mkuu. Mi naonaga watu wa crdb wanasema tayari mi naweza pata masaa baadae.Uongo haiwezi kuingia kwake tu
Mbn huku bado bila bilaCRDB tayari
Mi tooMbn huku bado bila bila
Acheni useng..e basCRDB tayari
Ebu cheki sshivi mzeeAcheni useng..e bas
Confirmed mkuu, pamoja sana.Crdb imetema, tukutane mwezi ujao
😁😁😁😁 Ila siendi job leo.Ewaaa Mad Max kapata salary wakuu tukutane tena mwezi ujao😅
Hahahaaaaa nenda Mkuu bado mapema sana, otherwise siku itakua ndefu sana kwako😁😁😁😁 Ila siendi job leo.
Noma hata kwangu bado, itakua swala la madakikaMbona hamna kitu