rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,163
- 43,988
hamalizi mwezi au hela haoni giza 2 😀 😀Utakuta unadaiwa salary advance+songesha+mgodi+M-pawa,hapo humalizi mwezi.Hatimaye unarudi kulekule🤣🤣🤣🤣🤣
hamalizi mwezi au hela haoni giza 2 😀 😀Utakuta unadaiwa salary advance+songesha+mgodi+M-pawa,hapo humalizi mwezi.Hatimaye unarudi kulekule🤣🤣🤣🤣🤣
Uko serious mkuu, maana ninadai zaidi ya milioni 1, ngoja tusubiri tuone.wenye malimbikizo mmekumbukwa 👍
Subirini kesho wastaafu wenyewe bado hawajapewaNamiliki nauli ya kurudi home tu
Naunga mkono hojaMaisha ya kuishi kwa kutegemea mshahara tu kwakweli ni mateso
😀😀😀😀😀😀😀😀😀Mwenye zamu Hazina leo jau sana
Kesho inshallah 😀Oya hii nchi vipi?
Hhahahaamsichati sana sasa , mnatuvuruga mjue
Kesho sitoboiKesho inshallah 😀
Muongo huyo.Mi bado
Tayari NMBHabari Mad Max.
Naulizia kama mshahara wa April umetoka
Tayari washawekaKaka bado kaka. Tusubirie
Imerudi enzi ya msogaaaa mshahara hadi tarehe 38Habari Mad Max.
Naulizia kama mshahara wa April umetoka
Tunasubiri wengine bado.Tayari washaweka
Subirini, bado TRA anamalizia kukusanya maokoto pale kariakoo.Habari Mad Max.
Naulizia kama mshahara wa April umetoka
Acheni kuwadanganya wenzenu, Kuna wengine wako mbali na banks na hawatumii Mobile Banking Services watachoma kwenda kuangalia salio wakose hata hela ya kula.NMB tayari