Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,530
- 3,422
Tar 23 leo
Ndo tarehe zenyewe! Ile ya pasaka ilikua thankful wishesTar 23 leo
Mchana wa leo wewe kakae sehemu kama imani inakuruhusu agiza mfugo kilo na castle lite baridiiii huku macho kwenye meseji hakikisha wana huduma ya lipa kwa simuNchi ime collapse nn, me naamka nakuta dry?
Bado mkuu leo bila shakaNchi ime collapse nn, me naamka nakuta dry?
Mkuu, ujue sijaamini.Mchana wa leo wewe kakae sehemu kama imani inakuruhusu agiza mfugo kilo na castle lite baridiiii huku macho kwenye meseji hakikisha wana huduma ya lipa kwa simu
Eeh na kada zingine except enginers.Kuliko walimu au
imefirisika, yaani bankruptyOya hii nchi vipi?
si mnajifanya no reform hya sasa mtakula mlikopeleka mbogaDakika zinazidi kuyoyoma....
Hazina 4-3 Utumishi
Pengine dakika za jioooni tunaweza kusawazisha
Ukiingia unikope walau sabini kaka maana wangu umeshaishaMbona mshahara hauingii?
Hahahasi mnajifanya no reform hya sasa mtakula mlikopeleka mboga
mkuu, upo jikoni kumbemakato ndo yanapita hadhina now, kuanzia alasiri itakuwa 👍
Yupo jikoni hazina anaita hadhina,hali bado ngumumkuu, upo jikoni kumbe
kuive tu sasa maana njaa imekua kali
Polisi wameshapata kabda ya pasakaBila bila,leo watapata wizara ya ulinzi na mambo ya ndani
Machen mwanachama mwenzang wa hadhina sacos.hapo kamaliza had ule mkopo wa zalulaYupo jikoni hazina anaita hadhina,hali bado ngumu