Shida mnajua watumishi hawana mambo mengine wanafanya unadhani mishahara hii inaweza kusomesha, kulipa, kodi, usafiri na chakula?Kautumie huo mshahara uishe wote usubiri tena tarehe 22.
Tarehe 20 tena? Mbona mapema.Oi tuonane 20 April.
Kuna mpumbavu namdai anasema halmashauri hawajalipwa..je ni kweli wadau wa halmashauri humu ...Kuna mtu yoyote wa serikali hajalipwa Hadi saivi?
Huyo anakulipa na mshahara wa April mkuu🤣🤣🤣Kuna mpumbavu namdai anasema halmashauri hawajalipwa..je ni kweli wadau wa halmashauri humu ...Kuna mtu yoyote wa serikali hajalipwa Hadi saivi?
We subiri tu anajifanya mjanja sana Niko naandaa bomu akafie mbali.Huyo anakulipa na mshahara wa April mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu usiku unapiga menu gani tena?Nimeamka nao ,nikapate supu nzito sasa,mchana kitimoto
Ngoma jumanneHaha mshahara jumamosi
Yes kesho kabla ya saa saba mchana!Haha mshahara jumamosi
Na sikukuu imewadiaHatimae zile tarehe zetu zimefika sasa, uzi umeamka daaaaah 😅😅😅😅
Usijali mkuu hata mwezi uliopita uliingia jumamosi sema ilikua late sanaDaaaah mama tuondolee aibu hii....kesho tule maharage kweli
Ngoja tuone...maana hali mbayaUsijali mkuu hata mwezi uliopita uliingia jumamosi sema ilikua late sana
Leo mida ya saa kumi utasoma ili watu wafanye shoppingNgoja tuone...maana hali mbaya