Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Huku mitandaoni tuulize mambo gani mkuu?
kwa sisi ma principals ni tunashangaa.enz zetu kwanza hata posho ilikua inawekwa kwneye bahasha ya kahki.na ilikua mnalipiwa hazina. kwa warant sasa hii ishu inakua mpaka watoto wa form foor wanajua baba hajapata mshahara sabab anaona uzi..
humu ilipswa u praise
 
Mitandao imebadili sana mambo
 
Sema hii miezi miwili February na March uzi umeishi maisha mafupi sana CONSISTENTLY 😀😀😀
 
ni aibu sana kuja kuanika humu i think. ila umesema huyu ni mwalimu.? kwan ndio wanaulizaga mitandaon humu?
masuala ya kitumish yana nidham sana.huwez kuuliza uliza ilihali hata tar 25 bado.au 24 na ilipasawa aulizwe Dahrm .hii ingekua kwetu bodi tayari imeshakaa na kukufukuza baada ya management kukuhoji
Kabisa, Kabisa
 
Mpaka sasa asilimia 90 mshahara hawanaaa mwendo wa kusongesha siku 30 zingine kwa kudundulizaa.
 
Back
Top Bottom