Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Tumefunga uzi rasmi mpaka 21 april wale mliotoa ushauri, ushauri wenu ni mzuri lakini tumeamua kuupuuza.
 
Wakuu naomba kuuliza,nimefungua akaunti NMB toka mwezi wa pili,juzi nimefuata kadi wananiambia bado hadi jumatatu.
Na akaunti nilifungua kwa ajili ya mshahara,sasa Jana nimesubiria SMS ya mshahara hadi saivi hamna kitu,je shida itakua NMB au halmshauri ndo kuna tatizo
 
Back
Top Bottom