rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,163
- 43,988
Kuna shuhuda mpya nini...?? Ila ngoja tulilie mishahara kwanza..Nenda kwenye Uzi wako ule
Kuna shuhuda mpya nini...?? Ila ngoja tulilie mishahara kwanza..Nenda kwenye Uzi wako ule
Salary leo itaingiaWatumishi na wasio watumishi wengi sana wanalia Leo, hali sio nzuri
Wenzetu wa Mnyazi Mungu waliiprogram vizuri sikukuu yaoYaan bila salary sikukuu hii ni miayo tu
Acha tu bado home wanasbr chochote kitu.Yaan bila salary sikukuu hii ni miayo tu
Kabisa wale uhakika.Wenzetu wa Mnyazi Mungu waliiprogram vizuri sikukuu yao
Bila mshahara uli kimasihara saiv tu simu za warembo hatukamati.Kuna shuhuda mpya nini...?? Ila ngoja tulilie mishahara kwanza..
Ahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣Wenzetu wa Mnyazi Mungu waliiprogram vizuri sikukuu yao
Hata hujui inachezwa wapi au wenge la mshaharaKesho Stellenbosch lazima afe kwa Mkapa tupate hela ya goli la mama
Mimi ni mpiga debe wa stend tu mzeeHata hujui inachezwa wapi au wenge la mshahara
AaahaaasLabda wanahofu msije mkakosa pesa ya sikukuu ya tarehe 26.4.2025
Serious??Wale wa NMB wahiii ATM.