kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,179
- 21,830
Naomba Kununua Kesi kwa Kuwatetea Watumishi wote wa Umma..
Hii lawama Imekuwa Ikienda On and off kwa Muda sana Inafika Kipindi inakera inastahili Jibu kiukwel..
System Ilivyotuweka Haijatuweka Tuwe na Maisha kama unavyoyapigia Hesabu..
Mtumishi wa Umma Wa Kawaida Kipato chake kwa Mwezi Kinaanzia 500-1000k
Nyumba ya Kupanga Kwa Wale Wanaopanga Na Kuishi Mjini Gharama ya Nyumba ya Familia ni Tsh 300k kwa Nyumba ya Kawaida kabisa.. au 250K
Uwezo wa Kula Kwa Siku kwa Kiwango Kidogo kabisa yaani namaanisha Cha Chini kabisa kwa Mjini ni 20k kwa siku Ambayo ni sawa na Tsh 600k kwa mwezi..
Malipo Ya Bills Mbalimbali (Utilities) Yaani Umeme,Maji,Taka, Vifurushi vya Tv etc lets say 150k...
Hapo Bado Hujaweka Pesa ya Nauli au Services ya Gari kwa Wamilki wa Magari..
Hapo Kumbuka Anatakiwa Kulipa Ada za Watoto, Na Kuweka Kiasi kwa ajili ya Serving na Mambo mengine..
Mtumishi kama Huyo Mwenye Kupata Scale ya Mshahara kuanzia 600k mpaka 1.5 Milion kwanini Tusimpongeze kwa kumudu Majakumu mazito yaliyozidi Umri na Yeye Kuyamudu..?
Najua unaweza Ukawa Mfanya biashara Au Unapata Pesa Kwa Njia Zingine Ila Tukikupa Miezi Sita Uwe Mtumishi Utaacha Kazi kwa Jinsi ambavyo Utakutana navyo..
Hongereni Sana watumishi wa Umma Na Mei mossi Inakaribia Siku yenu Ya Kujidai
Nashukuru kwa maoni/mtizamo/mawazo mazuri,,, kwa haraka haraka huo mnyumbuliko hapo umeupigia mahesabu ya juu sana ,,, !! Anyway watz wengi bado tunabangaiza,,, wanaoishi maisha standard hawafiki 10,% ya population yoteNaomba Kununua Kesi kwa Kuwatetea Watumishi wote wa Umma..