Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

1. Kuwa na subira jamaa yangu, tarehe 25 imefika?
2. Tuache kutia aibu, tunaiabisha serikali so far utaratibu wa kuuliza unaujua, umemfuata HRO wako ameshindwa kukujibu, DED wako ameshindwa kukujibu? Why exposing issues ambazo zinawekeana kujibiwa na wahusika instantly?
3. Sio sawa, Utumishi wa Umma haupo hivyo!!!
Huyo ni Mwalimu wa UPE au shule ya msingi Mnyongeni darasa la 1B...hana Ethics ya Field yenu
 
  • Thanks
Reactions: K11
Huyo ni Mwalimu wa UPE au shule ya msingi Mnyongeni darasa la 1B...hana Ethics ya Field yenu
ni aibu sana kuja kuanika humu i think. ila umesema huyu ni mwalimu.? kwan ndio wanaulizaga mitandaon humu?
masuala ya kitumish yana nidham sana.huwez kuuliza uliza ilihali hata tar 25 bado.au 24 na ilipasawa aulizwe Dahrm .hii ingekua kwetu bodi tayari imeshakaa na kukufukuza baada ya management kukuhoji
 
Nafikiri Ilikuwa zamani sana Mwzi wa Kwanza nadhani..
Mwaka 2024 mpaka Sasa Ni mwaka Mmoja na Miezi mitatu...

So Mnadiscuss Kitu kilichotokea Mwaka Mmoja uliopita 🤣🤣
 
ni aibu sana kuja kuanika humu i think. ila umesema huyu ni mwalimu.? kwan ndio wanaulizaga mitandaon humu?
masuala ya kitumish yana nidham sana.huwez kuuliza uliza ilihali hata tar 25 bado.au 24 na ilipasawa aulizwe Dahrm .hii ingekua kwetu bodi tayari imeshakaa na kukufukuza baada ya management kukuhoji
Huku mitandaoni tuulize mambo gani mkuu?
 
Back
Top Bottom