Wahaohitaji Huruma Yako
Member
- Mar 21, 2025
- 5
- 72
Mwalimu akiona humjibu vizuri stick sijajua kama jf hako katatizo kameondoka😂😂😂Jibu nilivyo uliza mkuu,mbona mjibu na swali haviendani
Mwalimu akiona humjibu vizuri stick sijajua kama jf hako katatizo kameondoka😂😂😂Jibu nilivyo uliza mkuu,mbona mjibu na swali haviendani
em fafanua penshen advance unaichkuaje? nmb ipo?Acha kukisia/GUESS kwa nini Pension haujaingia mpaka sasa...
Hata wale wa Pension wakati unasubiri tandika rubisi wa bank kidogo😂😂😂Tunaosubiri kikokotooo tuanjiandaa kulamba chetu mapema
Zaidi kuhusu Pension advance
- Mpaka TZS milioni 1
- Riba ndogo ya 2%
- Malipo siku 30
- Hakuna ada ya kuchakata
Inatolewa kwa wanufaika wote wa pensheni wanaopitisha pensheni zao benki ya CRDB
Pakua App ya SimBanking kuangalia kama unakubaliwa
Kwamba?gusa achia twenzetu atm,
kama bado hujapata usijal, ni swala la muda
Utawekewa -ve, ikiingia inapunguzwaJibu nilivyo uliza mkuu,mbona mjibu na swali haviendani
Umeshajisogeza?Mpo serious nijisogeze maeneo ya kazi!
Nataka nikakae viti virefu ila naona nitaishia kuzingua!Umeshajisogeza?
Hakuna Mzee anaeita hela mpunga! kasoro mbowe tu ndo aliita mafekeche, wazee tulihuzunika sana!Mimi na uzee wangu nidanganye ili iweje sasa. Kama hutaki kwenda kuvuta mpunga, waache wenye akili waende kwa atm!
Angalia Salio kwa App ni free.Hiv ukiangakia na ukawa huna salio,likija kuingia wanakata tena zote ulizo kuwa ukiulizia salio??
Crdb ni bila bilaMi bado mjue,
Yeah CRDB hapa, pakavuCrdb ni bila bila
NMB tayr,NMB mpaka sasa bado ni pakavu
ngoja nikae mkao wa kula hapaNMB tayr,
vuta subra zinaingia hivi punde tu
Kuna ambao wameshapata?NMB tayr,
vuta subra zinaingia hivi punde tu
Binadamu nyie!!NMB tayr,
vuta subra zinaingia hivi punde tu
J3 mbali sana.jumatatu