1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,167
- 14,316
serikali imelipa sana madeni huu mweZi, na mwezi ujao pia watalipa zaidli, ndio miez Mweka Hazina analipa sana,
serikali imelipa sana madeni huu mweZi, na mwezi ujao pia watalipa zaidli, ndio miez Mweka Hazina analipa sana,
Madeni ya watumishi au madeni ya nje?serikali imelipa sana madeni huu mweZi, na mwezi ujao pia watalipa zaidli, ndio miez Mweka Hazina analipa sana,
Madeni ya watumishi au madeni ya nje?
KUjifariji pia sio jambo bayaSijasema huyo kuwa kapata nimesema mshahara inatoka kwa batch number
Ngojea J3 mapema kabisa.Sijasema huyo kuwa kapata nimesema mshahara inatoka kwa batch number
Kweli?Wale wa nmb nendeni, kitu kimeishatiki.
Mimi niko hapa kwa mangi napata kmoto rosti na ugali na serengeti baridiiii. Wacha nitumie maisha yenyewe mafupi
Mmmh imeingia kimya kimya nn...nasubiri sms hapaWale wa nmb nendeni, kitu kimeishatiki.
Mimi niko hapa kwa mangi napata kmoto rosti na ugali na serengeti baridiiii. Wacha nitumie maisha yenyewe mafupi
Kwahiyo na mimi nitegemee kulipwa mapunjo mkuu, au wanalipwa watu gani, sababu kwenye clinic ya Samia niliambiwadeni langu sijui liko wizarani sijui tamisemi sijui hazina! Shida tupu na clinic zao.serikali imelipa sana madeni huu mweZi, na mwezi ujao pia watalipa zaidli, ndio miez Mweka Hazina analipa sana,
Tar 22 January 2024 kuna mtu alilalamika mshahara umechelewaVipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.
Acha urongo jombaaWale wa nmb nendeni, kitu kimeishatiki.
Mimi niko hapa kwa mangi napata kmoto rosti na ugali na serengeti baridiiii. Wacha nitumie maisha yenyewe mafupi
Ndo maisha ya watanzania sasa , mwenzetu upo Cannada eeehKama kuna kazi unafanya na mshahara haukutani, tarehe zikikaribia unaanza kuhaha,,,, madeni kwa mangi na kila kona, jitathimini sana na hio kazi !
Ni kweli mkuu kuna deni langu la mwaka jana mwezi wa tano nashangaa nimelipwa jana maana nilishafuatilia mpka nikaamua iwe sadaka na nkaacha kufanya kaz na serikali ila jana boom mambo yante yante.serikali imelipa sana madeni huu mweZi, na mwezi ujao pia watalipa zaidli, ndio miez Mweka Hazina analipa sana,
Ishi kulingana na kipato chako ,,, ! Uwezo wako ni kula nyama robo mara 1 kwa wiki zingatia, usile nusu ama kilo, achana na starehe zisizo za msingi,,,,! Michepuko mwiko ,,fanya serving! Karibu huku mpilimbi tulime, Canada ipi tena ?Ndo maisha ya watanzania sasa , mwenzetu upo Cannada eeeh
Naomba Kununua Kesi kwa Kuwatetea Watumishi wote wa Umma..Ishi kulingana na kipato chako ,,, ! Uwezo wako ni kula nyama robo mara 1 kwa wiki zingatia, usile nusu ama kilo, achana na starehe zisizo za msingi,,,,! Michepuko mwiko ,,fanya serving! Karibu huku mpilimbi tulime, Canada ipi tena ?
Huu uzi ni wa watumishi wa umma tu. Wafanyabiashara nendeni kwenye uzi wenu mkaone maeneo mapya mnayopangiwa maana meza zinaondolewaKama kuna kazi unafanya na mshahara haukutani, tarehe zikikaribia unaanza kuhaha,,,, madeni kwa mangi na kila kona, jitathimini sana na hio kazi !
Meza ipi tena ? Karibu tulime vibarua mashambaniHuu uzi ni wa watumishi wa umma tu. Wafanyabiashara nendeni kwenye uzi wenu mkaone maeneo mapya mnayopangiwa maana meza zinaondolewa