Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,340
- 103,676
Acha mzee. Usikute sio mshahara mtu kakulipa deni uko.Jana nilipata 😃😀😀😀
Acha mzee. Usikute sio mshahara mtu kakulipa deni uko.Jana nilipata 😃😀😀😀
BadoWazee wa Mabaka Mabaka bado?
Chuma inatembelea rimNgoma j3 hiyo...mie nawaambieni
Maaskari mshahara auchelewiNgoma j3 hiyo...mie nawaambien
mazda 😁Chuma inatembelea rim
😅 uzur haya mateso si ya leo wala jana.. ushayazoeaChuma inatembelea rim
Hongera kwa kuoteshwaNaona wengine Crdb umesoma muda huu
Toka jana tayariWazee wa Mabaka Mabaka bado?
Au ingekua option, ulipwe weekly au monthlyHakuna sababu ya msingi ya kulipa mshahara kila mwezi. Tulipane kila mwisho wa wiki au baada ya kila wiki mbili. Watu wanakonda sababu wanakula nyama na maziwa wiki ya mwisho wa mwezi tu, baada ya hapo maharage. Biashara zinakufa sababu zinauza wiki ya mwisho wa mwezi tu. Baada ya hapo ni kupiga miayo tu. Tukilipana kila wiki pesa inakuwepo kwenye mzunguko daily.
Iyo Taasisi uliyopo usihame.Toka jana tayari
Mpaka jioni itakuwa teyari bila shaka.Kwenye ess hadi muda huu salary slip hazisomi, kazi ipo tusubiri pengine mchana au jioni.
Mad Max ukipata uisitue
Na ikawe ivyo aiseeMpaka jioni itakuwa teyari bila shaka.
Acha utani!Toka jana tayari