adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,943
- 5,378
Sijasema huyo kuwa kapata nimesema mshahara inatoka kwa batch numberHauwezi kuingia kwa mtu mmoja
Sijasema huyo kuwa kapata nimesema mshahara inatoka kwa batch numberHauwezi kuingia kwa mtu mmoja
🤣🤣🤣🤣🤣Mbona nipo ESS hapa slip inakataa
Mshahara sio bumu la mkopo. Hua ukitoka unatoka tu. Mambo ya batch ni loan board huko.Sijasema huyo kuwa kapata nimesema mshahara inatoka kwa batch number
Nitafute Attention kwako Mzee Utanisaidia Nini..?Unatafuta attention kinguvu
CRDBBenki gani mkuu?
Mimi sio mwajiriwa wla sijawahi kuajiriwa,ila acha upuuzi wa kutafuta kikiNitafute Attention kwako Mzee Utanisaidia Nini..?
Wewe mwanaume Mzee kaza Acha Kulia lia..
Mimi Sio Mwajiri wako
Sasa Kama sio Mwajiriwa Unatafuta Nini Kwenye Uzi wa Mishahara 😂😂😂..Mimi sio mwajiriwa wla sijawahi kuajiriwa,ila acha upuuzi wa kutafuta kiki
Wewe ndio una shobo za kimama ,itakua upinde nipo humu kwa sabanu tunategemeana ,lazima nijur kila kinachoendelea ili mishe zangu ziende.acha kiki za kishoga ***** weSasa Kama sio Mwajiriwa Unatafuta Nini Kwenye Uzi wa Mishahara 😂😂😂..
We Jamaa Una shobo Sana au Mchicha mwiba Nini Nenda kweny Nyuzi zako acha Utoto wa Kike fala weww
Ficha ujinga wako basiMshahara sio bumu la mkopo. Hua ukitoka unatoka tu. Mambo ya batch ni loan board huko.
Toa huu ujingaNjoo upate kiwanja Kilwa Kivinje👑👑👑Mshahara utoke
MRADI UPO UMBALI WA KILOMITA TANO (5) KUTOKA MJI WA NANGURUKURU KARIBU NA JENGO LA OFISI ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILWA MKABALA NA BARABARA KUU YA LAMI INAYOTOKA LINDI KUELEKEA JIJINI DAR ES SALAAM. VIWANJA HIVI VINAFIKIKA KIURAHISI NA KUNA HUDUMA YA MAJI NA UMEME.
Walisrmaga hautakiwi tumeishia kuwa ujingaToa huu ujinga
Yaani sina kituMambo magumu
Jana nilipata 😃😀😀😀Sasa hapa hadi Monday au?