Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Nitahitaji majirani wanaowaza mishahara tafadhari nunua kiwanja hapa Shinyanga


Well


Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga katika mji wa Iselamagazi, eneo ilipo Hospitali ya Wilaya. Viwanja hivi vipo kandokando ya Barabara Kuu ya Shinyanga - Solwa na kuzunguka Hospitali ya Wilaya ya Shinyanga takribani Kilomita 30 kutoka Old-Shinyanga. Miundombinu ya umeme, maji na barabara inapatikana katika eneo hili.

 
Back
Top Bottom