Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,782
- 22,096
Hahaha noma sanaWiki mbili? Ukilipa madeni, ukanunua chakula juma tatu jioni hamna kitu. Namaanisha una chini ya laki moja. Unaanza kuishi kwa dili mara umeotea laki mahali mwezi unasonga!
Hahaha noma sanaWiki mbili? Ukilipa madeni, ukanunua chakula juma tatu jioni hamna kitu. Namaanisha una chini ya laki moja. Unaanza kuishi kwa dili mara umeotea laki mahali mwezi unasonga!
Leo uhakika mkuu.Mbn Salary slip haisomi?.. kesho sina uhakika.. maybe j3
Eeeeeh mkuu ebu kua serious.Nina mashaka hii salary kuchelewa ili kuisubiri EID 😂😂😂
Mpaka dk hii kimya..😅Leo uhakika mkuu.
Ata wajeda bado?TULIENI kuna dalili mwezi huu uzi utaishi parefu
SijuiAta wajeda bado?
Wajeda bado.Sijui
Basi leo hatulali na kiu.tulieni, makato yameshafanyika ess
Mbona nipo ESS hapa slip inakataatulieni, makato yameshafanyika ess
tulieni, makato yameshafanyika ess
mimi nishaagiza kitimoto simu ipo mezani kila meseji inayoingia nairukia holaNipo hapa kwa mangi, chupa ya pili napiga saundi tu; leteni mrejesho vipi huko
Hapa mpaka jumatatumimi nishaagiza kitimoto simu ipo mezani kila meseji inayoingia nairukia hola