Kiplayer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 1,355
- 2,261
Vibaya kivipi?Ijumaa kitu ndani ya box, sema sherehe za hivi karibuni zimekaa vibaya mno. Sijui itakuaje kwakweli.🙂↕️
Vibaya kivipi?Ijumaa kitu ndani ya box, sema sherehe za hivi karibuni zimekaa vibaya mno. Sijui itakuaje kwakweli.🙂↕️
Hakuna jinsi kakaHuu Uzi kila inapokaribia mwisho wa mwezi, unafufuka 😁
Ijumaa mbali sanaIjumaa kitu ndani ya box, sema sherehe za hivi karibuni zimekaa vibaya mno. Sijui itakuaje kwakweli.🙂↕️
Kweema?Oyaaa humu
Napiga miayo sina mia mbovuKweema?
Ijumaa ya kesho ni mbali?Ijumaa mbali sana
mshahara ni aina ya madawa ya kulevya anayopewa mtu ili kusahau malengo yakeVipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.
Yeah, am addicted..mshahara ni aina ya madawa ya kulevya anayopewa mtu ili kusahau malengo yake
Msosi wa wali maharage upo sana nyumbani, movement na hata mishikaki ndo shida huku job, ukipita kwa mangi anakupa bia kwa masengenyo maana deni lishafika lilimiKama huna uhakika wa kula leo kuna msosi wa bure hapa Superdome
Ata kuongeza bia huwezi. Sema ata ukifirisika, usikope nyama mzee. Never.Msosi wa wali maharage upo sana nyumbani, movement na hata mishikaki ndo shida huku job, ukipita kwa mangi anakupa bia kwa masengenyo maana deni lishafika lilimi
Wanamiumbusha Madilu nadhani🤣Huu Uzi kila inapokaribia mwisho wa mwezi, unafufuka 😁
Noted mkuu. Kesho tunaliamsha kama kawa elf 80 kwenye mfuko wa shati!!Ata kuongeza bia huwezi. Sema ata ukifirisika, usikope nyama mzee. Never.
HahahahaNoted mkuu. Kesho tunaliamsha kama kawa elf 80 kwenye mfuko wa shati!!
Baada ya wiki mbili tu pesa inayeyuka😆😆Noted mkuu. Kesho tunaliamsha kama kawa elf 80 kwenye mfuko wa shati!!
Wiki mbili? Ukilipa madeni, ukanunua chakula juma tatu jioni hamna kitu. Namaanisha una chini ya laki moja. Unaanza kuishi kwa dili mara umeotea laki mahali mwezi unasonga!Baada ya wiki mbili tu pesa inayeyuka😆😆
Tarehe hizi watu wanakuwa na furaha tu bila ya kujielewa ila baada ya muda wanapitia msongo wa mawazo.Baada ya wiki mbili tu pesa inayeyuka😆😆
Mbn Salary slip haisomi?.. kesho sina uhakika.. maybe j3Kesho uhakika. 24 hours tuvumilie wakuu.