Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
Tuwe wakwwli ama waongo nchi hii haitawahi kuendelea hadi CCM itoke.Msemaji wa Serikali hajasema ukweli, amesema pensheni zimelipwa tar 22 mwezi huu, watu wameenda Ijumaa tar 24 Benki Hakuna Mafao wala Pensheni. Watu wote walio staafu mwezi wa 2 mwaka huu hawajapewa hata pensheni wala Mafao sisi ni miongoni, pia kusema mpaka mwezi wa 9 serikali inaendelea kuwalipa ni akina nani hao na sisi tupo hatuja lipwa.
Tukiwa wakweli nchi hii itakuwa na Maendeleo makubwa sana, kuweka siasa kwenye maslahi ya watu binafsi haifai mtaendelea kuwa waongo siku zote. Nyaraka zilipokelewa mwezi wa 3 PSSSF na wakasema hakuna dosari yoyote ziko sawa hadi leo hamjalipa halafu wewe msemaji wa serikali unasema sio kweli. Sisi ndio wastaafu ndio tunaoongea sio wewe ambaye hujastaafu.
Mkuu kumbe wewe ni mstaafu !! Ongera sana. Usijali mwaka huu hauishi utakuwa ushalipwa.Msemaji wa Serikali hajasema ukweli, amesema pensheni zimelipwa tar 22 mwezi huu, watu wameenda Ijumaa tar 24 Benki Hakuna Mafao wala Pensheni. Watu wote walio staafu mwezi wa 2 mwaka huu hawajapewa hata pensheni wala Mafao sisi ni miongoni, pia kusema mpaka mwezi wa 9 serikali inaendelea kuwalipa ni akina nani hao na sisi tupo hatuja lipwa.
Tukiwa wakweli nchi hii itakuwa na Maendeleo makubwa sana, kuweka siasa kwenye maslahi ya watu binafsi haifai mtaendelea kuwa waongo siku zote. Nyaraka zilipokelewa mwezi wa 3 PSSSF na wakasema hakuna dosari yoyote ziko sawa hadi leo hamjalipa halafu wewe msemaji wa serikali unasema sio kweli. Sisi ndio wastaafu ndio tunaoongea sio wewe ambaye hujastaafu.
Hivi mnapataga wapi muda wa kufuatilia mambo hayo? Mana kazi yake huyo msemaji huwa ni kusifia kila kitu.
Mifuko ya hifadhi ya bara ina urasimu sana. Nimekua naona wastaafu wa taasisi za Tanzania bara (mf. TRA or migration, ttcl, post office n.k) wanapata sana usumbufu wa kupata stahiki zao. Tofauti na huku Zanzibar.Msemaji wa Serikali hajasema ukweli, amesema pensheni zimelipwa tar 22 mwezi huu, watu wameenda Ijumaa tar 24 Benki Hakuna Mafao wala Pensheni. Watu wote walio staafu mwezi wa 2 mwaka huu hawajapewa hata pensheni wala Mafao sisi ni miongoni, pia kusema mpaka mwezi wa 9 serikali inaendelea kuwalipa ni akina nani hao na sisi tupo hatuja lipwa.
Tukiwa wakweli nchi hii itakuwa na Maendeleo makubwa sana, kuweka siasa kwenye maslahi ya watu binafsi haifai mtaendelea kuwa waongo siku zote. Nyaraka zilipokelewa mwezi wa 3 PSSSF na wakasema hakuna dosari yoyote ziko sawa hadi leo hamjalipa halafu wewe msemaji wa serikali unasema sio kweli. Sisi ndio wastaafu ndio tunaoongea sio wewe ambaye hujastaafu.
Pole sana mkuu.Msemaji wa Serikali hajasema ukweli, amesema pensheni zimelipwa tar 22 mwezi huu, watu wameenda Ijumaa tar 24 Benki Hakuna Mafao wala Pensheni. Watu wote walio staafu mwezi wa 2 mwaka huu hawajapewa hata pensheni wala Mafao sisi ni miongoni, pia kusema mpaka mwezi wa 9 serikali inaendelea kuwalipa ni akina nani hao na sisi tupo hatuja lipwa.
Tukiwa wakweli nchi hii itakuwa na Maendeleo makubwa sana, kuweka siasa kwenye maslahi ya watu binafsi haifai mtaendelea kuwa waongo siku zote. Nyaraka zilipokelewa mwezi wa 3 PSSSF na wakasema hakuna dosari yoyote ziko sawa hadi leo hamjalipa halafu wewe msemaji wa serikali unasema sio kweli. Sisi ndio wastaafu ndio tunaoongea sio wewe ambaye hujastaafu.
Alifundishwa uongo na huleeeeeeeeMsemaji wa Serikali hajasema ukweli, amesema pensheni zimelipwa tar 22 mwezi huu, watu wameenda Ijumaa tar 24 Benki Hakuna Mafao wala Pensheni. Watu wote walio staafu mwezi wa 2 mwaka huu hawajapewa hata pensheni wala Mafao sisi ni miongoni, pia kusema mpaka mwezi wa 9 serikali inaendelea kuwalipa ni akina nani hao na sisi tupo hatuja lipwa.
Tukiwa wakweli nchi hii itakuwa na Maendeleo makubwa sana, kuweka siasa kwenye maslahi ya watu binafsi haifai mtaendelea kuwa waongo siku zote. Nyaraka zilipokelewa mwezi wa 3 PSSSF na wakasema hakuna dosari yoyote ziko sawa hadi leo hamjalipa halafu wewe msemaji wa serikali unasema sio kweli. Sisi ndio wastaafu ndio tunaoongea sio wewe ambaye hujastaafu.
Anaongea uongo ili kuwafurahisha wakubwa zake ile anonekane ni mtetezi wa wakubwaUbaya wa nchi hii inaongozwa kwa uongo na kibaya zaidi kurithishana uongo ndio kanuni kuu katika uongozi wao
Huwezi ukamtuhumu kiongozi muongo ikachukuliwa hatua na kiongozi wa juu ambae ndio muongo zaidi.
Hili la wastaafu halina wa kulisemea kabisa na tutabaki kuteseka tu. Hakuna sababu ya mtumishi kustaafu na kusimishiwa mshahara mwezi unaofuata lakini ikashindikana mtu huyo kuingiziwa malipo yake mwezi huo akiwa anasubiri mafao yake.
Labda iundwe taasisi/chama/commission ya kusimamia maswala ya wastaafu.
Waathirika ni wengi
Madaraja ya watumishi kuwapandiaha yamewashinda...
Kuna watu tangu 2002 hawajawahi kipandishwa...
Ni ukweli kabisa hakuna walicholipa mpaka sasaMsemaji wa Serikali hajasema ukweli, amesema pensheni zimelipwa tar 22 mwezi huu, watu wameenda Ijumaa tar 24 Benki Hakuna Mafao wala Pensheni. Watu wote walio staafu mwezi wa 2 mwaka huu hawajapewa hata pensheni wala Mafao sisi ni miongoni, pia kusema mpaka mwezi wa 9 serikali inaendelea kuwalipa ni akina nani hao na sisi tupo hatuja lipwa.
Tukiwa wakweli nchi hii itakuwa na Maendeleo makubwa sana, kuweka siasa kwenye maslahi ya watu binafsi haifai mtaendelea kuwa waongo siku zote. Nyaraka zilipokelewa mwezi wa 3 PSSSF na wakasema hakuna dosari yoyote ziko sawa hadi leo hamjalipa halafu wewe msemaji wa serikali unasema sio kweli. Sisi ndio wastaafu ndio tunaoongea sio wewe ambaye hujastaafu.
Waliipenda na kuichagua wenyewe hao wastaafuMsemaji wa Serikali hajasema ukweli, amesema pensheni zimelipwa tar 22 mwezi huu, watu wameenda Ijumaa tar 24 Benki Hakuna Mafao wala Pensheni. Watu wote walio staafu mwezi wa 2 mwaka huu hawajapewa hata pensheni wala Mafao sisi ni miongoni, pia kusema mpaka mwezi wa 9 serikali inaendelea kuwalipa ni akina nani hao na sisi tupo hatuja lipwa.
Tukiwa wakweli nchi hii itakuwa na Maendeleo makubwa sana, kuweka siasa kwenye maslahi ya watu binafsi haifai mtaendelea kuwa waongo siku zote. Nyaraka zilipokelewa mwezi wa 3 PSSSF na wakasema hakuna dosari yoyote ziko sawa hadi leo hamjalipa halafu wewe msemaji wa serikali unasema sio kweli. Sisi ndio wastaafu ndio tunaoongea sio wewe ambaye hujastaafu.
APole sana mkuu.
Hii kitu Inakera mno. Mie nliona nlipodai fao la uzazi tu psssf story nyingi utasema ile hela wanataka kuila wao.
Sijui inawezakana nihamishe michango yangu kwenda zssf. Mie ni mwajiriwa katika moja wapo ya taasisi za muungano. Nikiona wenzangu wanavopata shida kudai stahiki zao nachoka kabisa
Nilienda Benki tar 24 Muda wa saa 2.30 usiku sasa iyo benki inayofanya kazi usiku kuwekea watu mafao ni ya naniPensheni ilitoka tarehe 24/9 mida ya jioni.
Hayo mengine uliyoyaeleza sijayafanyia utafiti wa kuuelewa ukweli wake.
Mkuu wako kasema ilitoka tar 22 wewe unakuja na 24 jioni sasa mnufaika kaenda tar 24 saa 2.30 usiku ATM hajakuta kitu nani muuongo kati yenu na mimi niliyeenda saa 2.30 usikuPensheni ilitoka tarehe 24/9 mida ya jioni.