Gerson Msigwa amekataa uteuzi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara? Bado anafanya majukumu ya Zuhura Yunus na Msemaji wa Serikali

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Unapoteuliwa ikaondoka ofisini nakukabidhi kuna vitu vya ofisi na personal vinapaswa kubadilika. Gerson Msigwa ameendelea kufanya kazi ya Zuhura Yunus mitandaoni kisha sasa ameongeza kazi ya katibu mkuu.

Anaweza akadhani mfumo unataka hivyo ila ukweli ni kwamba anaingilia majukumu ya watu. Makatibu wakuu sifa yao kuu nikujitenga na mitandao ya kijamii kwa kuamini wizara zina watu wameajiriwa kuhabarisha.

Mdogo wetu Msigwa anahitaji msaada kidogo...Zakuambiwa changanya na zako. Pls my young brother, nawiwa kukushauri usipost tena issues kwenye akaunti yako iliyosajiliwa as official accounts kwenye sacial media.

Ukitaka kufanya hivyo, usiwe wa kwanza na usiweke maneno yako. Zingatia
 
kwan umejiskiaje baba!!
 
Umeshauri ujinga mtupu. Kuna tatizo gani Msigwa kupost taarifa kutoka serikalini kwenye page yake binafsi? Hiyo sifa ya makatibu wakuu kujitenga na mitandao ipo kwenye sheria gani? Acha wivu wa kishamba.
Na wewe unajidhalilisha! Huko kweli ni kuingilia majukumu yasiyomhusu! Safari ya Rais India inamhusu nini Msigwa? Wanaopaswa kuripoti hiyo safari ni Zuhura na Matinyi! Asiingilie majukumu ya watu!
 
Unapoteuliwa ikaondoka ofisini nakukabidhi kuna vitu vya ofisi na personal vinapaswa kubadilika. Gerson Msigwa ameendelea kufanya kazi ya Zuhura Yunus mitandaoni kisha sasa ameongeza kazi ya katibu mkuu.

Anaweza akadhani mfumo unataka hivyo ila ukweli ni kwamba anaingilia majukumu ya watu. Makatibu wakuu sifa yao kuu nikujitenga na mitandao ya kijamii kwa kuamini wizara zina watu wameajiriwa kuhabarisha.

Mdogo wetu Msigwa anahitaji msaada kidogo...Zakuambiwa changanya na zako. Pls my young brother, nawiwa kukushauri usipost tena issues kwenye akaunti yako iliyosajiliwa as official accounts kwenye sacial media.

Ukitaka kufanya hivyo, usiwe wa kwanza na usiweke maneno yako. Zingatia
Huyu atapigwa chini muda si mrefu maana hajui majukumu ya Katibu Mkuu. Yeye anadhani anafurahisha Mamlaka ya uteuzi ila wanaofanya kazi na mamlaka yake ye uteuzi watalalamika wanaingiliwa majukumu.kwa mazingira ya Sasa yeye atatakiwa kupisha. Tatizo hasomi alama za nyakati anadhani kapewa ukatibu mkuu kwa kupendwa kumbe anatafutiwa mlango wa kutoka
 
Unapoteuliwa ikaondoka ofisini nakukabidhi kuna vitu vya ofisi na personal vinapaswa kubadilika. Gerson Msigwa ameendelea kufanya kazi ya Zuhura Yunus mitandaoni kisha sasa ameongeza kazi ya katibu mkuu.

Anaweza akadhani mfumo unataka hivyo ila ukweli ni kwamba anaingilia majukumu ya watu. Makatibu wakuu sifa yao kuu nikujitenga na mitandao ya kijamii kwa kuamini wizara zina watu wameajiriwa kuhabarisha.

Mdogo wetu Msigwa anahitaji msaada kidogo...Zakuambiwa changanya na zako. Pls my young brother, nawiwa kukushauri usipost tena issues kwenye akaunti yako iliyosajiliwa as official accounts kwenye sacial media.

Ukitaka kufanya hivyo, usiwe wa kwanza na usiweke maneno yako. Zingatia
Hii ndiyo vetting ya CCM
 
Back
Top Bottom