Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 879
- 4,125
Wanachofanya Gerson Msigwa na RC Mbeya akivymiliki kwa kweli; wanawatukana watanzania adharani bila woga wakiamini wanatetea serikali.
Msemaji wa serikali kutamka kwamba Serikali imeshindwa kuwasimamia watumishi wa bandari ni kumdharau aliyemteua. Kutamka adharani kwamba bandarini kuna wezi na hakuna aliyekamatwa kwa wizi siyo sahihi. Serikali ina vyombo vyake ambavyo vimewekwa; tukiendelea kusema serikali imeshindwa kuwadhibiti wezi hivyo bora tumpe mgeni nani atamdhibiti huyo mgeni ?
Mamlaka kuu ya serikali inaanza kudharauliwa bila watu kuona inadharauliwa......Wakati wa Mhe. Magufuli ulikuwa uwezi kusimama adharani na kuidharau serikali iliyokutuea.
Niwashauri wateule wa Mhe. Rais kujipa muda kutafakari maneno yao kwa sababu yanapotoka yanareflect imani waliyonayo kwa mwenye nchi.
Bandari inasimamiwa na Serikali then serikali inalalamika kwamba imeshindwa kweli kusimamia watumishi? Kama nawaza sawasawa hawa watu wanapaswa kuwekwa pembeni na serikali ikanishe hizi taarifa.