We endelea tu kusindikiza, watakaposimama na wewe simamakwani ile miezi minne aloifanyia kampeni haijasaidia chochote?? maana naona ni muda mrefu kukaa na garasa na kumpa pesa nyingi kusimama jukwaani??? mimi si shabiki wa siasa ila ni maono yangu tu!!!
Na kweli kwa mtindo huo hilo genge(ambalo nyie mnaliita Chama) lazima lituchanganye maana haiwezekani watu wote ambao wanaonekana kwenda kinyume na maadili ya Taifa wageuze ndiyo kichaka chao! Hii siyo sawa ndiyo maana nimesema subirini na hao mashoga watakao tajwa na Kingwangwala watangaze kujiunga huko na wewe kifua mbele kabisa unacomment "mpaka mchanganyikiwe " amakweli ukishangaa ya Mussa utayaona ya Firauni!Na bado mpk mchanganyikiwe.
kuna tatizo gani kwa Wema kujiunga na chadema kwani umeambiwa waliopo Chadema woote ni wasafi? Vyama vya siasa mtaji wao siku zoote ni watu na si kitu kingine...tatizo pengine linaweza kuwa ni jinsi gani Chadema watakavyomkopea....akipokokelewa kama mwanachama wa kawaida no problemMimi naanza na nina wengine watu kadhaa ambao pia watarudisha kadi zao mara wapatapo uhakika wa kile kinachosemwa. kuwa watu kama akina wema wamejiunga cdm. wema hakuwah kuwa mfano mzuri kwa watu wenye akili timamu. chadema kinapoteza uelekeo na misingi yake ya mwanzo.
tulipiga mbio vyema nani katuzuia? leo mtuhumiwa wa madwa ya kulevya ambaye amehama ccm kwa kuwa amepishana kimaslah au kimtizamo na watu walioko serikalini anaonekana ni mtu wa muhimu cdm? sisi makamanda wa ukweli mnatuweka wapi? wema anakuja kuidhoofisha cdm. kweli na waambia huu ni mkakati wa ccm kupitia usalama wa taifa kuidhoofisha cdm. na bado kuna wengine wa aina hiyo watakuja.
View attachment 473750
miaka kadhaa ijayo CHADEMA haitakuwa na hoja ya kuisimamia. itabigwa ganzi kwenye suala la ufisadi na itapigwa ganzi kwenye suala la madawa ya kulevya. CCM watasimama na kusema mnaona? tuliwakamata watu kadhaa CDM ikawachukua. na chadema itatumia nguvu nyingi sana kumsafisha wema huku siku zikienda.
wema sepetu ni rafiki mkubwa wa ridhiwani. wazungu wanasema "show me your friends i will tell your character" sasa huu hamuoni kuwa ni mtego? wapinzani ni sisi sisi tumekuwa tukipigia kelele habari za watu flan. TUNAANZA KUJIPA MAJUKUMU YA
KUWASAFISHA" hii ni kazi mbaya na chafu sana.View attachment 473748
pumzi imekata kwa sasa. nimeona safai hii inazidi kuwa nzito. huyu wema alisema wafuasi wa chadema hawajielew. leo hii anasemaje? wameanza lini kujielewa? tulikuwa tunapiga kelele suala la kuwashirikisha wasanii au waigizaji katika siasa. waigizaji maisha yao yameshageuka wamekuwa waigizaji. na haya matokeo mtakuja kuyaona ka wakati wake.
Na pia inaonekana hakufanya mahesabu mazuri kuhamia ccm. hili linaweza kumgharimu na siku akirudi CCM chadema watakuwa na hard time hasa.wema is not reliable. cdm walikuwa na jackline wolper. yu wapi sasa? walikuwa na ray yu wapi sasa? hawa watu si reliable. na kwa issue hii atarudi ccm akipiga magoti kubembeleza wamchukue wamsamehe na siku hiyo cdm watakuwa na wakati mgumu sana. kitakamchomrudisha wema atasema cdm kuna ukabila,ukanda na ubaguzi. hivyo ameona ni bora arudi ccm. haya nayasema kuna siku mtayakumbuka.
"SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA"
Tatizo wasanii wetu ni wapiga deal. Ngoja tuione hii movie inakoishia
A vote is a vote isn't it? ndio anachofanya Mbowe, alimchukua Lowassa sababu ya kura, na wema sababu ya kura pia....
Umeelewa Ulichoandika Au?No Matter Amefukuzwa Au Amejiondoa Mwenyewe Mleta Post Anahoji Makapi Mnayochukua Wahalifu Wanaohamia Kwenu Mnatumika Kuisafisha Ccm Na Kuifanya Iimarike.Wema Sepetu kajiondoa mwenyewe CCM na kujiunga CHADEMA.Kama angekuwa amefukuzwa kwa utovu wa maadili ndio walau ingeleta maana.Huwezi kusubiri Mke akuache halafu ndio uanze kumchafua eti ulikuwa humpendi.Hii ni sawa na hadithi ya sizitaki mbichi hizi.
Yule mbunge wenu wa Tabora mbona shoga mtamtaja kwenye list ya kigangwala..nyani haoni K....Dhambi ya kumtukana na kumuita Slaa kuwa ni Dr Mihogo itawaandama milele chadema.
Wachawi, mafisadi, wauza madawa ya kulevya, wahujumu uchumi wote watajiunga Chadema.
Umeelewa Ulichoandika Au?No Matter Amefukuzwa Au Amejiondoa Mwenyewe Mleta Post Anahoji Makapi Mnayochukua Wahalifu Wanaohamia Kwenu Mnatumika Kuisafisha Ccm Na Kuifanya Iimarike.
Makonda mfoji vyeti kaenda kinyume na maadili mbona mpo naeNa kweli kwa mtindo huo hilo genge(ambalo nyie mnaliita Chama) lazima lituchanganye maana haiwezekani watu wote ambao wanaonekana kwenda kinyume na maadili ya Taifa wageuze ndiyo kichaka chao! Hii siyo sawa ndiyo maana nimesema subirini na hao mashoga watakao tajwa na Kingwangwala watangaze kujiunga huko na wewe kifua mbele kabisa unacomment "mpaka mchanganyikiwe " amakweli ukishangaa ya Mussa utayaona ya Firauni!
Toto zuri hilo.watu wamechanganyikiwa.mtabaki na sura ngumu tu huko.Tunajua kafwata WAUZA UNGA WENZIE
Mkuu, upo tayari kuisaidia jamhuri?PIA MKUMBUKE YA KUWA MBOWE ALIWAHI KUKIMBIA MTEGO WALIWEKEWA MOMBASA WAKATI AKIFUATA MZIGO KIASI HA MAGAZETI KUANDIKA UKURASA WA MBELE MBOWE AWATELEKEZA DEREVA NA GARI MOMBASA NA KUKIMBILIA NAIROBI, ALIPOPATA TAARIFA YA MTEGO HUO ALIPANDA NDEGE AKAKIMBILIA NAIROBI, IKUMBUKWE NA NDIYO WAKATI HUO ILE MELI YENYE UNGA ILIKAMATWA MOMBASA HUYU JAMAA ASIJIKANYAGE ANAUZA MADAWA YA KULEVYA NA YALE YOTE ANAYOYAPATA SASA NI MALIPO YA WATOTO WA WATU ALIOWAANGAMIZA KWA MADAWA YA KULEVYA, HATA KULE KWAO MOSHI KWENYE SHULE YA KIIMATAIFA AMEWAMALIZA WATOTO WA KIZUNGU KWA MADAWA YA KULEVYA ANAYOYASAMBAZA KUPITIA KWA AJENTI WAKE MMOJA, HATA HICHO CHEO ALICHONACHO BUNGENI HAFAI KUWA NACHO WAMEREKANI AMBAO WATOTO WENU WAMEATHIRIKA HIVI WAKO WAPI?