Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

kwani ile miezi minne aloifanyia kampeni haijasaidia chochote?? maana naona ni muda mrefu kukaa na garasa na kumpa pesa nyingi kusimama jukwaani??? mimi si shabiki wa siasa ila ni maono yangu tu!!!
 
- hahahahahahaha mimi nipo Sinza Mori napiga kazi siku hizi Channel yetu mpya ya Africa Swahili TV ipo Startimes Channel 121 na Azam TV Channel 120 so kazi juu ya kazi U know

le Mutuz
Steve nyerere kumbe kakuzidi akili na maarifa hata sauti kwenye chama chenu cha laana kasema kwenye clip iliyosambaa nchini eti alikukanya umuache wema unamsimanga mitandaoni,hahaaaa steve kakukanya le mgogoz.
 
Imekuwa kama kamtego ambako wapinzani hasa CHADEMA wamekuwa wakiona kama ni kulamba dume pale wale waliokosa sifa za kuwa wanachama kwa utukutu wao wa kiuharifu, ulafi wa madaraka na uovu mwingine unapofika mwisho ndani ya CCM basi wapinzani uona wao wamepata ama kweli KWAKO CHA NINI MWENZAKO NITAKIPATA LINI??[emoji12] [emoji12]

Ni mwaka juzi tu kulitokea wimbi kubwa la wafuasi wa CCM waliokosa sifa za kugombea urais na ubunge walikimbilia CHADEMA viongozi wasio ona mbali walishangilia hasa ujio wa mzee LOWASSA na makada maarufu kwa ccm ilijigamba kuwa sasa inatoa oil chafu, makapi, masalia ila wapinzani wanaojua siasa km mtaalam wangu ninayemjua ktk siasa za Tanzania dr. Slaa alikataa mkakati huo na kuamua kujiengua katika siasa za upinzani nakusema amestaafu siasa wachache tulimuelewa.

Leo hii CHDM kwa tambo na mbwembwe zote wanafurahia kuwakaribisha watu wenye tuhuma za madawa ya kulevya kama msanii maarufu Wema Sepetu bado hawaoni kosa kama kawaida yao. Kitu kimoja niwakunbushe kauli ya Dr slaa. Mumejiuliza swali kama WEMA SEPETU NI ASSET AU LIABILITY...?? Baada ya haya niwape tena ushauri mbaya fanya hima mkamchukue na MANJI swali kama ni asset au liability lifunike tuuh.

Kama ni ushamba wa siasa nchi hii pale viongozi wa siasa hasa mnaposahau kuwekeza mtaji wenu kwa ubungo mchanga na kukimbia na bongo zilizochujuka ni wazi siyo CCM au WAPINZANI tofauti yao ni ndogo katika kufanya siasa zenye tija kwa taifa. Nasema haya kwa uzoefu wa CCM tumeongoza nchi kwa 50 hamsini ila kwa vipimo vya kimaendeleo tunakwenda taratibu mno. Wapinzani wapime katika serikali za mitaa hasa halmashauri wanazoongoza tofauti yao na CCM ni ndogo au haipo.

Ushauri:

Ebu tujifunze kuunda mawazo mapya kutoka katika vizazi vipya tengenezeni vijana la sivyo uwekezaji wa miaka 50 uliotuweka hapa tulipo itakuwa shida kupata majawabu ya changamoto za tangu uhuru UJINGA, UMASIKINI, MAGONJWA(maradhi). Ref. Mwalimu Nyerere.

Ni hayo tu kwa leo...! NAIPENDA TANZANIA LEO KULIKO JANA..

Hamna lolote! Labda kama ungeniambia hao unaowasema siyo Watanzania. Provided ni Watanzania - mtu yeyote anaweza kujiunga na chama cha siasa anachokipenda. Hata wewe unayeandika haya unaweza kuwa na madudu yako na pamoja na hayo madudu yako (kama unayo) unaweza kujiunga na chama chochote cha siasa si kwa sababu una hayo madudu, ila kwa sababu unadhani hicho chama (wanachama wenzako) watakusaidia kuwa mtu tofauti na kujenga taifa la Tanzania. This is what we all pray for. Tuhuma hazimzuii mtu kujiunga na chama chochote cha siasa na wala hazimfanyi mtu yeyote kukosa sifa za kuwa Mtanzania/wa taifa la Tanzania na kumchagua au kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Kutajwa ktk kashifa hakumuonfolei wema sifa ya kujiunga na chama.
Sasa we ulitakaje wamkatalie? Mbona Mbowe nae katajwa je afukuzwe?
Haki ya mtu haiondolewi mpaka mahakamani ithibitishe
 
Imekuwa kama kamtego ambako wapinzani hasa CHADEMA wamekuwa wakiona kama ni kulamba dume pale wale waliokosa sifa za kuwa wanachama kwa utukutu wao wa kiuharifu, ulafi wa madaraka na uovu mwingine unapofika mwisho ndani ya CCM basi wapinzani uona wao wamepata ama kweli KWAKO CHA NINI MWENZAKO NITAKIPATA LINI??[emoji12] [emoji12]

Ni mwaka juzi tu kulitokea wimbi kubwa la wafuasi wa CCM waliokosa sifa za kugombea urais na ubunge walikimbilia CHADEMA viongozi wasio ona mbali walishangilia hasa ujio wa mzee LOWASSA na makada maarufu kwa ccm ilijigamba kuwa sasa inatoa oil chafu, makapi, masalia ila wapinzani wanaojua siasa km mtaalam wangu ninayemjua ktk siasa za Tanzania dr. Slaa alikataa mkakati huo na kuamua kujiengua katika siasa za upinzani nakusema amestaafu siasa wachache tulimuelewa.

Leo hii CHDM kwa tambo na mbwembwe zote wanafurahia kuwakaribisha watu wenye tuhuma za madawa ya kulevya kama msanii maarufu Wema Sepetu bado hawaoni kosa kama kawaida yao. Kitu kimoja niwakunbushe kauli ya Dr slaa. Mumejiuliza swali kama WEMA SEPETU NI ASSET AU LIABILITY...?? Baada ya haya niwape tena ushauri mbaya fanya hima mkamchukue na MANJI swali kama ni asset au liability lifunike tuuh.

Kama ni ushamba wa siasa nchi hii pale viongozi wa siasa hasa mnaposahau kuwekeza mtaji wenu kwa ubungo mchanga na kukimbia na bongo zilizochujuka ni wazi siyo CCM au WAPINZANI tofauti yao ni ndogo katika kufanya siasa zenye tija kwa taifa. Nasema haya kwa uzoefu wa CCM tumeongoza nchi kwa 50 hamsini ila kwa vipimo vya kimaendeleo tunakwenda taratibu mno. Wapinzani wapime katika serikali za mitaa hasa halmashauri wanazoongoza tofauti yao na CCM ni ndogo au haipo.

Ushauri:

Ebu tujifunze kuunda mawazo mapya kutoka katika vizazi vipya tengenezeni vijana la sivyo uwekezaji wa miaka 50 uliotuweka hapa tulipo itakuwa shida kupata majawabu ya changamoto za tangu uhuru UJINGA, UMASIKINI, MAGONJWA(maradhi). Ref. Mwalimu Nyerere.

Ni hayo tu kwa leo...! NAIPENDA TANZANIA LEO KULIKO JANA..
Mkuu wajuvi wa siasa mpaka sasa 2020 ssm 2 wapinzani 0
....
.....mtaandika sana nabado kokoro limetuwa mjengoni
 
Ccm walikuwa hawajielewi kwa kuelekea Ndio Maana sheria kandamizi zikaanza.
sasa nadhani wataanza kuamka.
 
. wema hakuwah kuwa mfano mzuri kwa watu wenye akili timamu.
Kama ameamua kwaushujaa kuwa na watu makini na wenyeakili timamu atakuwa mfano mzuri.
Hata mtume Paulo alipo amua kumfuata YESU mwanzoni jamii haikumuelewa
 
Dhambi kubwa ya Chadema ni ule mgomo wa madaktari ulioratibiwa na Chadema wakafa wagonjwa kibao marehemu huko waliko wanalilia kisasi kwa Mungu awalipe kisasi Chadema
Ni kweli mgomo uliosababishwa na serikali yenyewe
 
Ukweli CDM hawajui wanaposimamia, soon Manji atachukua kadi ya chama cha wachaggaz!!
 
Back
Top Bottom