Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Ungerudisha ya CCM wakati wa Escrow ningekusifu
Kura haichagui muache aende anapopenda.INAUMIZAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
YANI KWA MTU YEYOTE MWENYE AKILI INAUMIZA SANA!
damu jasho na ukhanithi waliopewa watu kwa ajili ya hiki chama leo kinafanya mambo ya aina hii unaweza ulie mpk ukae chini!
got nothing against wema ,ila CHADEMA MNATUUMIZA AISEEE!
Kwa nini anawazidi akili? Au tuseme hamna mwenye akili kati yenu?PIA MKUMBUKE YA KUWA MBOWE ALIWAHI KUKIMBIA MTEGO WALIWEKEWA MOMBASA WAKATI AKIFUATA MZIGO KIASI HA MAGAZETI KUANDIKA UKURASA WA MBELE MBOWE AWATELEKEZA DEREVA NA GARI MOMBASA NA KUKIMBILIA NAIROBI, ALIPOPATA TAARIFA YA MTEGO HUO ALIPANDA NDEGE AKAKIMBILIA NAIROBI, IKUMBUKWE NA NDIYO WAKATI HUO ILE MELI YENYE UNGA ILIKAMATWA MOMBASA HUYU JAMAA ASIJIKANYAGE ANAUZA MADAWA YA KULEVYA NA YALE YOTE ANAYOYAPATA SASA NI MALIPO YA WATOTO WA WATU ALIOWAANGAMIZA KWA MADAWA YA KULEVYA, HATA KULE KWAO MOSHI KWENYE SHULE YA KIIMATAIFA AMEWAMALIZA WATOTO WA KIZUNGU KWA MADAWA YA KULEVYA ANAYOYASAMBAZA KUPITIA KWA AJENTI WAKE MMOJA, HATA HICHO CHEO ALICHONACHO BUNGENI HAFAI KUWA NACHO WAMEREKANI AMBAO WATOTO WENU WAMEATHIRIKA HIVI WAKO WAPI?
Mimi naanza na nina wengine watu kadhaa ambao pia watarudisha kadi zao mara wapatapo uhakika wa kile kinachosemwa. kuwa watu kama akina wema wamejiunga cdm. wema hakuwah kuwa mfano mzuri kwa watu wenye akili timamu. chadema kinapoteza uelekeo na misingi yake ya mwanzo.
tulipiga mbio vyema nani katuzuia? leo mtuhumiwa wa madwa ya kulevya ambaye amehama ccm kwa kuwa amepishana kimaslah au kimtizamo na watu walioko serikalini anaonekana ni mtu wa muhimu cdm? sisi makamanda wa ukweli mnatuweka wapi? wema anakuja kuidhoofisha cdm. kweli na waambia huu ni mkakati wa ccm kupitia usalama wa taifa kuidhoofisha cdm. na bado kuna wengine wa aina hiyo watakuja.
View attachment 473750
miaka kadhaa ijayo CHADEMA haitakuwa na hoja ya kuisimamia. itabigwa ganzi kwenye suala la ufisadi na itapigwa ganzi kwenye suala la madawa ya kulevya. CCM watasimama na kusema mnaona? tuliwakamata watu kadhaa CDM ikawachukua. na chadema itatumia nguvu nyingi sana kumsafisha wema huku siku zikienda.
wema sepetu ni rafiki mkubwa wa ridhiwani. wazungu wanasema "show me your friends i will tell your character" sasa huu hamuoni kuwa ni mtego? wapinzani ni sisi sisi tumekuwa tukipigia kelele habari za watu flan. TUNAANZA KUJIPA MAJUKUMU YA
KUWASAFISHA" hii ni kazi mbaya na chafu sana.View attachment 473748
pumzi imekata kwa sasa. nimeona safai hii inazidi kuwa nzito. huyu wema alisema wafuasi wa chadema hawajielew. leo hii anasemaje? wameanza lini kujielewa? tulikuwa tunapiga kelele suala la kuwashirikisha wasanii au waigizaji katika siasa. waigizaji maisha yao yameshageuka wamekuwa waigizaji. na haya matokeo mtakuja kuyaona ka wakati wake.
Na pia inaonekana hakufanya mahesabu mazuri kuhamia ccm. hili linaweza kumgharimu na siku akirudi CCM chadema watakuwa na hard time hasa.wema is not reliable. cdm walikuwa na jackline wolper. yu wapi sasa? walikuwa na ray yu wapi sasa? hawa watu si reliable. na kwa issue hii atarudi ccm akipiga magoti kubembeleza wamchukue wamsamehe na siku hiyo cdm watakuwa na wakati mgumu sana. kitakamchomrudisha wema atasema cdm kuna ukabila,ukanda na ubaguzi. hivyo ameona ni bora arudi ccm. haya nayasema kuna siku mtayakumbuka.
"SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA"
PIA MKUMBUKE YA KUWA MBOWE ALIWAHI KUKIMBIA MTEGO WALIWEKEWA MOMBASA WAKATI AKIFUATA MZIGO KIASI HA MAGAZETI KUANDIKA UKURASA WA MBELE MBOWE AWATELEKEZA DEREVA NA GARI MOMBASA NA KUKIMBILIA NAIROBI, ALIPOPATA TAARIFA YA MTEGO HUO ALIPANDA NDEGE AKAKIMBILIA NAIROBI, IKUMBUKWE NA NDIYO WAKATI HUO ILE MELI YENYE UNGA ILIKAMATWA MOMBASA HUYU JAMAA ASIJIKANYAGE ANAUZA MADAWA YA KULEVYA NA YALE YOTE ANAYOYAPATA SASA NI MALIPO YA WATOTO WA WATU ALIOWAANGAMIZA KWA MADAWA YA KULEVYA, HATA KULE KWAO MOSHI KWENYE SHULE YA KIIMATAIFA AMEWAMALIZA WATOTO WA KIZUNGU KWA MADAWA YA KULEVYA ANAYOYASAMBAZA KUPITIA KWA AJENTI WAKE MMOJA, HATA HICHO CHEO ALICHONACHO BUNGENI HAFAI KUWA NACHO WAMEREKANI AMBAO WATOTO WENU WAMEATHIRIKA HIVI WAKO WAPI? KWA HIYO MAJI HUFATA MKUMBO WALE WOTE AMBAO WANAHUSIKA NA MADAWA YA KULEVYA WATAMFUATA MBOWE!Mimi naanza na nina wengine watu kadhaa ambao pia watarudisha kadi zao mara wapatapo uhakika wa kile kinachosemwa. kuwa watu kama akina wema wamejiunga cdm. wema hakuwah kuwa mfano mzuri kwa watu wenye akili timamu. chadema kinapoteza uelekeo na misingi yake ya mwanzo.
tulipiga mbio vyema nani katuzuia? leo mtuhumiwa wa madwa ya kulevya ambaye amehama ccm kwa kuwa amepishana kimaslah au kimtizamo na watu walioko serikalini anaonekana ni mtu wa muhimu cdm? sisi makamanda wa ukweli mnatuweka wapi? wema anakuja kuidhoofisha cdm. kweli na waambia huu ni mkakati wa ccm kupitia usalama wa taifa kuidhoofisha cdm. na bado kuna wengine wa aina hiyo watakuja.
View attachment 473750
miaka kadhaa ijayo CHADEMA haitakuwa na hoja ya kuisimamia. itabigwa ganzi kwenye suala la ufisadi na itapigwa ganzi kwenye suala la madawa ya kulevya. CCM watasimama na kusema mnaona? tuliwakamata watu kadhaa CDM ikawachukua. na chadema itatumia nguvu nyingi sana kumsafisha wema huku siku zikienda.
wema sepetu ni rafiki mkubwa wa ridhiwani. wazungu wanasema "show me your friends i will tell your character" sasa huu hamuoni kuwa ni mtego? wapinzani ni sisi sisi tumekuwa tukipigia kelele habari za watu flan. TUNAANZA KUJIPA MAJUKUMU YA
KUWASAFISHA" hii ni kazi mbaya na chafu sana.View attachment 473748
pumzi imekata kwa sasa. nimeona safai hii inazidi kuwa nzito. huyu wema alisema wafuasi wa chadema hawajielew. leo hii anasemaje? wameanza lini kujielewa? tulikuwa tunapiga kelele suala la kuwashirikisha wasanii au waigizaji katika siasa. waigizaji maisha yao yameshageuka wamekuwa waigizaji. na haya matokeo mtakuja kuyaona ka wakati wake.
Na pia inaonekana hakufanya mahesabu mazuri kuhamia ccm. hili linaweza kumgharimu na siku akirudi CCM chadema watakuwa na hard time hasa.wema is not reliable. cdm walikuwa na jackline wolper. yu wapi sasa? walikuwa na ray yu wapi sasa? hawa watu si reliable. na kwa issue hii atarudi ccm akipiga magoti kubembeleza wamchukue wamsamehe na siku hiyo cdm watakuwa na wakati mgumu sana. kitakamchomrudisha wema atasema cdm kuna ukabila,ukanda na ubaguzi. hivyo ameona ni bora arudi ccm. haya nayasema kuna siku mtayakumbuka.
"SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA"
Muulize lizaboniKwa
Kwani huko CCM alikuwa nani?
......PIA MKUMBUKE YA KUWA MBOWE ALIWAHI KUKIMBIA MTEGO WALIWEKEWA MOMBASA WAKATI AKIFUATA MZIGO KIASI HA MAGAZETI KUANDIKA UKURASA WA MBELE MBOWE AWATELEKEZA DEREVA NA GARI MOMBASA NA KUKIMBILIA NAIROBI, ALIPOPATA TAARIFA YA MTEGO HUO ALIPANDA NDEGE AKAKIMBILIA NAIROBI, IKUMBUKWE NA NDIYO WAKATI HUO ILE MELI YENYE UNGA ILIKAMATWA MOMBASA HUYU JAMAA ASIJIKANYAGE ANAUZA MADAWA YA KULEVYA NA YALE YOTE ANAYOYAPATA SASA NI MALIPO YA WATOTO WA WATU ALIOWAANGAMIZA KWA MADAWA YA KULEVYA, HATA KULE KWAO MOSHI KWENYE SHULE YA KIIMATAIFA AMEWAMALIZA WATOTO WA KIZUNGU KWA MADAWA YA KULEVYA ANAYOYASAMBAZA KUPITIA KWA AJENTI WAKE MMOJA, HATA HICHO CHEO ALICHONACHO BUNGENI HAFAI KUWA NACHO WAMEREKANI AMBAO WATOTO WENU WAMEATHIRIKA HIVI WAKO WAPI?
Na ww utaandika sana na bdo Lijuakali na yule mwenzie bado Wanahenya [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]....
.....mtaandika sana nabado kokoro limetuwa mjengoni
Chagdema wamechanganyikiwa.Yani mmwenekiti chadema anatangaza wema kajiunga chadema lissu anatangaza kusimamia kesi yake duh chadema ni kituko tuuu .
Unajuaje kama alirudi kimkakati...hii mambo bwana hapana cheza na siasa wewe...Huyo ana hasira tu, lkn hawezi kudumu chadema hata siku moja, kama Msanii Tanzania hawezi kuwa nje ya CCM na kutoboa, ni swala la muda tu hata yule Jackline Wolper Masawe naye alienda chadema alivyomaliza kutumika na chadema wakamtupa, akajifunza na karudi CCM!
Kwa kifupi wanatumika chadema kama karatasi choo tu, lkn muda siyo mrefu mtasikia Wema karudi Chama Dola!
J.Wolper Masawe juu alivyokwenda chadema, chini amerudi chama Dola!
![]()
Marijali wapo ccm bwana; muulize Mwigulu halafu cheki orodha ya viti maalum bungeniUko sahihi Mkuu. Huyo dem ana sura nzuri sana, hata ningekuwa mimi uzalendo ungenishinda tu.