Fidelis Gregory
Senior Member
- May 25, 2015
- 147
- 51
Ahahaaaaa kweli lazima t uangaliwe kwa jicho la tatu naona sarakas zimeanzaaa
Na Div zero yake pale Benjamin MkapaIn reality CHADEMA wanafanya mambo ya ovyo sana.
mambo kama hayo yanafifisha upinzani...Mtu kama pole pole kesha pata point tatu za ugenini hapo.
Sawa kama nia ni kushinda uchaguzi tu ngoja tusubiri 2020Kama chama A huwa kinachaguliwa pamoja na tabia zake sioni kwa nini chama B kisiige tabia za chama A ili nacho kichaguliwe.Sera wanazopenda kusikia wananchi ndio inabidi zihubiriwe ili chama kishinde uchaguzi.
Team ya ushindi 2020 inaanza kutengenezwa.
Nilidhani utaniambia kwamba waole watuhumiwa waliko ndani ya CCM wamevuliwa uanachama mkuu maana lengo ni kuto kuwa na watuhumiapwa chamani. Lakin tambua mtuhumiwa si mkosaji hadi hapo itakapo thibitika kimahakama hivyo bado anahaki ya kuhama na kupokelewa pia.Sikatai inawezekana. Isipokuwa isiwe public vile maana madawa na kushirikiana na mtu anayetuhumiwa na madawa si vizuri,
Kuna msemo wa kiingereza unaosema:
SHOW ME your FRIENDS and
I will TELL you WHAT kind of a person ARE YOU!/
NIONYESHE RAFIKI zako nami
NITAKUAMBIA wewe ni MTU wa NAMNA gani!
Kwa kusnort bwimbwiViva chadema
Isubirie Mahakama IkuthibitishieMhalifu ni yule aliyedhibitishwa na Mahakama kutenda Kosa.Wema mpaka sasa bado ni mtu safi.
Hata gerezani wako wafungwa wanachama wa CCM na CHADEMA Wema ni mtanzania wa kawaida ana haki ya kijiunga na chama chochote cha siasa akijisikia leo niko CHADEMA kesho TLP hamna anaye mzuia na siyo big deal kama mnavyotaka kufanya. Walikuwepo watu CCM waka hama na pia walikuwepo watu CHADEMA wakahama lakini CCM imebaki kuwa CCM na CHADEMA imebaki kuwa CHADEMAKwani CDM ipo kwa ajili ya akina nani??Hivi kwa sababu ametuhumiwa basi hastahili kuwa Mtanzania?? Mbowe ameshutumiwa hivyo hafai kuwa CDM??
🙁🙁🙁Hivi unakumbuka ulipozaliwa Shangazi zako walivyosema wewe si wa kaka yao lakini mbona unadunda au umekuwa Liability kaka.?
Wema ni human Asset sio mwenzio anawafuasi kuliko unavyodhani ana karama ya ajabu
Poleni sana Lumumba naona hamna hojaHili game linavyochezwa...!? kha..! hata chadema kindaki ndaki wala hawastuki...kuwa chama kwishnei!
Hiyo nafasi safi amuachie mwingine yeye awe mwanachama wa kawaida.Kwani CDM ipo kwa ajili ya akina nani??Hivi kwa sababu ametuhumiwa basi hastahili kuwa Mtanzania?? Mbowe ameshutumiwa hivyo hafai kuwa CDM??