imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,460
Kitakuwa chama cha kipekee hapa barani afrika,kinaweza kikatangaza vita dhidi ya watanzaniaWachawi, mafisadi, wauza madawa ya kulevya, wahujumu uchumi wote watajiunga Chadema.
Kitakuwa chama cha kipekee hapa barani afrika,kinaweza kikatangaza vita dhidi ya watanzaniaWachawi, mafisadi, wauza madawa ya kulevya, wahujumu uchumi wote watajiunga Chadema.
Unapomuona mtu mzimaa maamaa analia mbele za watu ujue kuna jambo×2yaani kuna mahali jana nimesoma Dar mnauziwa kilo ya maharage 3000 tsh na ( SEMBE ) Unga wa mahind 2000 tsh bado watu wanahis mambo yako powa mtanyooka tu
CHADEMA kupitia Mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe, baada ya kesi ya kikatiba namba 1 ya mwaka 2017 inayotarajiwa kuwasilishwa Mahakama Kuu leo, kitazungumza kwa umma kupitia waandishi wa habari na kuwakaribisha wanachama wapya waliojiunga leo akiwemo msanii Wema Sepetu.
View attachment 473709
Mbowe na Lissu leo wanawasilisha ile hati ya mashitaka iliyorekebishwa na kumuongeza Mwanasheria Mkuu. Wema Sepetu yupo Katikati ya Esther Bulaya na Mbowe hii leo. Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura
View attachment 473719 View attachment 473718
Baada ya hapa Mbowe ataongea na Waandishi.
Ikumbukwe kwamba Lissu ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) na Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, jana alijitokeza mahakamani kuwa wakili wa Wema na wenzake wawili akiwamo mfanyakazi wa ndani. Msanii maarufu wa fani ya uigizaji wa filamu, Wema Sepetu anakabiliwa na kesi ya kukutwa na bangi. Kesi hiyo ya Wema iliahirishwa hadi Machi 15.
Mtakoma mwaka huu Manji ,iddi azzan, mama Janeth , Ridhiwan wote wanahamia chademaDhambi ya kumtukana na kumuita Slaa kuwa ni Dr Mihogo itawaandama milele chadema.
Wachawi, mafisadi, wauza madawa ya kulevya, wahujumu uchumi wote watajiunga Chadema.
Wakati wa kampeni tulikua na walper mukasema tuna makahaba majukwaani, alipohamia kweni kwa kurubuniwa hamkumuita tena "CD" acheni wivu wa kike.Yaani huuu ni zaidi ya ufarasii!
wakati rahaa ( kampeni) wanakambilia CCM tena kwa mbwembwe na kejeli kweli kweli, kwenye shida wana 'pretend' kuwa wapo CDM, binafsi nimeshangaa sana kwa Lissu kuamua kumtetea huyu 'CD' na kumkacha kamanda Lema????
ana hasira za kushitakiwa kwa kukutwa na msokoto, uchaguzi ukikaribia tu anarudi ccm ni swala la muda tuCHADEMA kupitia Mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe, baada ya kesi ya kikatiba namba 1 ya mwaka 2017 inayotarajiwa kuwasilishwa Mahakama Kuu leo, kitazungumza kwa umma kupitia waandishi wa habari na kuwakaribisha wanachama wapya waliojiunga leo akiwemo msanii Wema Sepetu.
View attachment 473709
Mbowe na Lissu leo wanawasilisha ile hati ya mashitaka iliyorekebishwa na kumuongeza Mwanasheria Mkuu. Wema Sepetu yupo Katikati ya Esther Bulaya na Mbowe hii leo. Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura
View attachment 473719 View attachment 473718
Baada ya hapa Mbowe ataongea na Waandishi.
Ikumbukwe kwamba Lissu ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) na Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, jana alijitokeza mahakamani kuwa wakili wa Wema na wenzake wawili akiwamo mfanyakazi wa ndani. Msanii maarufu wa fani ya uigizaji wa filamu, Wema Sepetu anakabiliwa na kesi ya kukutwa na bangi. Kesi hiyo ya Wema iliahirishwa hadi Machi 15.
Ndo tunaipenda hivo hivo kama mmechukia kunyweni sumu.Kiukweli inabidi uwe na akili ya maiti kuishabikia chadema ya sasa.....
Yaani ni kama upinzani umerudi miaka ishirini nyuma.
CCM imepoteana lakini Chadema haijielewi.
Yaani sasa hivi hawana kabisa hoja za kitaifa zaidi ya kutafuta kiki kama wasanii wa bongo movie.!
mkuu pole inakuuma sana najua, bakini wakuskuma na ccm yenuKamanda Lema ndo keshasahaulika tena, kaachwa yatima akiendelea kusota lupango wakati dem aliyeshikwa na bangi akitetewa na Lissu. Kwakweli Mwanamke sio mtu wa kushindana nae mbele ya wanaume kadhaa.
Wema sio mwanasiasa, Wema ni kama wewe uamue kujiunga na chama chochote au kikundi chochote. Unayo haki ya kufanya ivyo bila kuingiliwa na hapo bongo tu ndio mtu akijiunga na upinzani anafanyiwa vituko utafikiri yy co mtanzania na hana haki ya kufanya ivyo. Utaona huyo Magufuli atakavyochukia watamfuatilia mpaka wanaume anaotembea nao. Yani tumempata rais mwenye chuki. Rais ambaye anataka kila kitu afanye yeye. Yeye ni nani atamzidi yesu pamoja na nguvu aliyokunayo lkn alikuwa na wasaidizi. Magufuli anayo chuki binafsi ambayo sio rahisi kumtoka. Yeye anasema hawezi kufukua makaburi lakini nakuambia Magufuli anajenga utawala wa kulipizana kisasi ndani ya wanaccm wenyewe na kwa upinzani. Miaka minane co mingi kama mungu akamjalia akapewa miaka mengine lakini akumbuke atatoka na tunapoelekea ndio kugumu zaidi huwezi amini hapo baadae mbele hata ikipita miaka 20 ukasikia kuwa Magufuli anashtakiwa kwa kutoiendesha nchi kwa kufuata sheria. Omba uzima mungu akulinde utakuja kumbuka haya siku hiyo ikifikaMasikini wema ndo anapotea kisiasaa
SASA NDIYO CHADEMA INAKUFA RASMI, YAANI UOZO WOTE HUO WANAUCHUKUA? KWELI MBOWE UNAKIUWA CHAMA HATA BEN SAANANE ALIPOKUAMBIA UKWELI HATA LEO HATUJUI UKO WAPI.....NAMNUKUU SAANANE ALIVYOKUAMBIA BILA UOGA...."MWENYEKITI UNEFIKIA MWISHO, KAMA NI MPIRA UMEVUTIKA MWISHO, HAUVUTIKI TENA", MWISHO WA KUNUKUU, MPAKA LEO HATUJUI YUKO WAPI.....TUNAKUMBUKA YALIYOMKUTA WANGWECHADEMA kupitia Mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe, baada ya kesi ya kikatiba namba 1 ya mwaka 2017 inayotarajiwa kuwasilishwa Mahakama Kuu leo, kitazungumza kwa umma kupitia waandishi wa habari na kuwakaribisha wanachama wapya waliojiunga leo akiwemo msanii Wema Sepetu.
View attachment 473709
Mbowe na Lissu leo wanawasilisha ile hati ya mashitaka iliyorekebishwa na kumuongeza Mwanasheria Mkuu. Wema Sepetu yupo Katikati ya Esther Bulaya na Mbowe hii leo. Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura
View attachment 473719 View attachment 473718
Baada ya hapa Mbowe ataongea na Waandishi.
Ikumbukwe kwamba Lissu ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) na Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, jana alijitokeza mahakamani kuwa wakili wa Wema na wenzake wawili akiwamo mfanyakazi wa ndani. Msanii maarufu wa fani ya uigizaji wa filamu, Wema Sepetu anakabiliwa na kesi ya kukutwa na bangi. Kesi hiyo ya Wema iliahirishwa hadi Machi 15.
A vote is a vote isn't it? ndio anachofanya Mbowe, alimchukua Lowassa sababu ya kura, na wema sababu ya kura pia....NDO NIMEJIULIZA!
NANI MWENYE AKILI KISIASA ANATAKA KUWA KARIBU NA HII KITU?
SUALA LA WEMA KUGOMBEA UBUNGE,kuwa kwenye timu ya makamu wa rais na kuweeemo kwenye list lilikuwa ni doa kwa chama!
NANI ANGESUBIRI KUWAZA KUSUKUMIZA ZIGO THE OTHER SIDE?
NA THE OTHER SIDE WANAPIGA NA SELFIE!?
kwa shida ipi ya attention wanayoihitaji kiasi kuwe na umuhimu wa japo kuvuta watu miktano ya kampeni?
KATIA VITU NILIKATAA KUVIELEWA KWENYE SIASA ZA NCHI HII NI HIVI!
LIKE SERIOUSLY?
Poa- nipigie at 0717618997 anytime
le Mutuz
Uko sahihi Mkuu. Huyo dem ana sura nzuri sana, hata ningekuwa mimi uzalendo ungenishinda tu.mkuu pole inakuuma sana najua, bakini wakuskuma na ccm yenu
Dah... Na wewe ni thinker tank wa wa chadema?acha ujinga ww mbona asubui unapiga puli na ukimuomba Mungu msamaa anakusamee cdm ukitubu tunakupokea ata Osama angetaka kujiunga tungempokea ila kwa sharti moja LA kutubia
sisi sio nyie wa visasa
na neno la Mungu linasema samee 7×70= Fanya esabu utagundua kila baada ya mda gani unatakiwa kusamee
Wema mlipomtumia kama chambio ilikuwa sawa. Kujiunga mwenyewe chadema imekuwa nongwa.Kamanda Lema ndo keshasahaulika tena, kaachwa yatima akiendelea kusota lupango wakati dem aliyeshikwa na bangi akitetewa na Lissu. Kwakweli Mwanamke sio mtu wa kushindana nae mbele ya wanaume kadhaa.