mm sijaelewa bhanaSalam kwa Faru John,digi digi na swala wanahama mbuga,walimsindikiza mtoni,maji anajisafishia huku hakiwafunga kamba!!
Mtataja mpk dawa za meno nyie watu!..mkiachwa msiwe mnapaniki!..ha ha haaa.Mlipokea mafisadi so hatushangai mkiwapokea wauzaji na wabwiya ngada
wanatuharibia chama dola hao, hatuwatak CCM wabaki na CHADEMA YAOHuyo ana hasira tu, lkn hawezi kudumu chadema hata siku moja, kama Msanii Tanzania hawezi kuwa nje ya CCM na kutoboa, ni swala la muda tu hata yule Jackline Wolper Masawe naye alienda chadema alivyomaliza kutumika na chadema wakamtupa, akajifunza na karudi CCM!
Kwa kifupi wanatumika chadema kama karatasi choo tu, lkn muda siyo mrefu mtasikia Wema karudi Chama Dola!
J.Wolper Masawe juu alivyokwenda chadema, chini amerudi chama Dola!
![]()
Sasa aliyepanic nani ? everyone have a free will.Ni bora chama kibakie na watu wawili kuliko kuwa na lundo la madhalimu na wanaanza kujiondoa wenyewe.Mtataja mpk dawa za meno nyie watu!..mkiachwa msiwe mnapaniki!..ha ha haaa.
Kina Wema ni wanafiki, WAMEONA NN MPAKA WAHAME CCM??? Huko ya kiwachachia na sisi hatuta wapokeaSiasa Mchezo Mchafu Lazima Uwe Mnafiki.
Wabwiyaji toka lini wakaona watu wengine wanaeleweka ?wema mwenyewe amegundua CCM hawajielewei! hivi kwa akili za kawaida inawezeakana vipi wema anazunguka kwenye kampeni ni mgomea uraisi kwa muda wote alafu leo ndio mnakuja kutuhumu
TUTAMKIMBIZA CCMHuu usajili wa kiboya.Huyu Wema ukifika msimu wa Uchaguzi anarudi CCM
Maisha bila unafiki hayaendi mkuu.hataa mkeo ni mnafiki kwakoKina Wema ni wanafiki, WAMEONA NN MPAKA WAHAME CCM??? Huko ya kiwachachia na sisi hatuta wapokea
Hizo ni kelele za Chura wema ni mtu mdogo sana katika CCM, HATA AKIHAMIA CHADEMA ATHAR YAKE HAIPO KATIKA CCMKampeni zinaendelea kisomi zaidi, ccm wamechemka. Wema ana follower zaidi ya laki moja. Chadema endeleeni kuchukua mitaji hiyo.
Kama nikweli mbona mnaonekana mmevurugwa sana...mnajibu kila post.... inaonekana Mioyo imejaa uchungu sijui alikuwa anawapa nini hukoHizo ni kelele za Chura wema ni mtu mdogo sana katika CCM, HATA AKIHAMIA CHADEMA ATHAR YAKE HAIPO KATIKA CCM