Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Ufalme wa mateja na wauzaji wa madawa ya kulevya! Haya waende wote wauza ngada wakatetewe na chadema.
Bado kuna kundi kubwa linatarajiwa kutajwa na Kingwangwala huenda nao wakatimkia Uchademani! Kazi kweikwei!
 
SASA NDIYO CHADEMA INAKUFA RASMI, YAANI UOZO WOTE HUO WANAUCHUKUA? KWELI MBOWE UNAKIUWA CHAMA HATA BEN SAANANE ALIPOKUAMBIA UKWELI HATA LEO HATUJUI UKO WAPI.....NAMNUKUU SAANANE ALIVYOKUAMBIA BILA UOGA...."MWENYEKITI UNEFIKIA MWISHO, KAMA NI MPIRA UMEVUTIKA MWISHO, HAUVUTIKI TENA", MWISHO WA KUNUKUU, MPAKA LEO HATUJUI YUKO WAPI.....TUNAKUMBUKA YALIYOMKUTA WANGWE
Wkt mpo nae ccm alikua ni malaika?kisa mmeona kawakacha roho zinawauma?na bado mtabaki wasukuma tu huko ccm
 
Mimi naanza na nina wengine watu kadhaa ambao pia watarudisha kadi zao mara wapatapo uhakika wa kile kinachosemwa. kuwa watu kama akina wema wamejiunga cdm. wema hakuwah kuwa mfano mzuri kwa watu wenye akili timamu. chadema kinapoteza uelekeo na misingi yake ya mwanzo.

tulipiga mbio vyema nani katuzuia? leo mtuhumiwa wa madwa ya kulevya ambaye amehama ccm kwa kuwa amepishana kimaslah au kimtizamo na watu walioko serikalini anaonekana ni mtu wa muhimu cdm? sisi makamanda wa ukweli mnatuweka wapi? wema anakuja kuidhoofisha cdm. kweli na waambia huu ni mkakati wa ccm kupitia usalama wa taifa kuidhoofisha cdm. na bado kuna wengine wa aina hiyo watakuja.

View attachment 473750

miaka kadhaa ijayo CHADEMA haitakuwa na hoja ya kuisimamia. itabigwa ganzi kwenye suala la ufisadi na itapigwa ganzi kwenye suala la madawa ya kulevya. CCM watasimama na kusema mnaona? tuliwakamata watu kadhaa CDM ikawachukua. na chadema itatumia nguvu nyingi sana kumsafisha wema huku siku zikienda.

wema sepetu ni rafiki mkubwa wa ridhiwani. wazungu wanasema "show me your friends i will tell your character" sasa huu hamuoni kuwa ni mtego? wapinzani ni sisi sisi tumekuwa tukipigia kelele habari za watu flan. TUNAANZA KUJIPA MAJUKUMU YA

KUWASAFISHA" hii ni kazi mbaya na chafu sana.View attachment 473748

pumzi imekata kwa sasa. nimeona safai hii inazidi kuwa nzito. huyu wema alisema wafuasi wa chadema hawajielew. leo hii anasemaje? wameanza lini kujielewa? tulikuwa tunapiga kelele suala la kuwashirikisha wasanii au waigizaji katika siasa. waigizaji maisha yao yameshageuka wamekuwa waigizaji. na haya matokeo mtakuja kuyaona ka wakati wake.

Na pia inaonekana hakufanya mahesabu mazuri kuhamia ccm. hili linaweza kumgharimu na siku akirudi CCM chadema watakuwa na hard time hasa.wema is not reliable. cdm walikuwa na jackline wolper. yu wapi sasa? walikuwa na ray yu wapi sasa? hawa watu si reliable. na kwa issue hii atarudi ccm akipiga magoti kubembeleza wamchukue wamsamehe na siku hiyo cdm watakuwa na wakati mgumu sana. kitakamchomrudisha wema atasema cdm kuna ukabila,ukanda na ubaguzi. hivyo ameona ni bora arudi ccm. haya nayasema kuna siku mtayakumbuka.

"SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA"
Tokea lini ukawa mwanachama wa CHADEMA? Na ni kwa mtu akihama chama chenu mnaanza kusema ni fisàdi, oil chafu, kila aina ya ubaya lakini huyo mtu akirudi huko kwenu mnaanza kusema karudi kwao mara ulikuwa umepotea. Shenziiiii ninyi mnatongoza watu na wanapowakatalia mnawapachika kesi.
 
Usisahau wengine bado wamebaki CCM kina idd na kina mtemvu na wengine wengi tu nadhan si dhambi mtu kuhamia chama anacho kitaka no matter what,
Sikatai inawezekana. Isipokuwa isiwe public vile maana madawa na kushirikiana na mtu anayetuhumiwa na madawa si vizuri,
Kuna msemo wa kiingereza unaosema:
SHOW ME your FRIENDS and
I will TELL you WHAT kind of a person ARE YOU!/

NIONYESHE RAFIKI zako nami
NITAKUAMBIA wewe ni MTU wa NAMNA gani!
 
Mimi naanza na nina wengine watu kadhaa ambao pia watarudisha kadi zao mara wapatapo uhakika wa kile kinachosemwa. kuwa watu kama akina wema wamejiunga cdm. wema hakuwah kuwa mfano mzuri kwa watu wenye akili timamu. chadema kinapoteza uelekeo na misingi yake ya mwanzo.

tulipiga mbio vyema nani katuzuia? leo mtuhumiwa wa madwa ya kulevya ambaye amehama ccm kwa kuwa amepishana kimaslah au kimtizamo na watu walioko serikalini anaonekana ni mtu wa muhimu cdm? sisi makamanda wa ukweli mnatuweka wapi? wema anakuja kuidhoofisha cdm. kweli na waambia huu ni mkakati wa ccm kupitia usalama wa taifa kuidhoofisha cdm. na bado kuna wengine wa aina hiyo watakuja.

View attachment 473750

miaka kadhaa ijayo CHADEMA haitakuwa na hoja ya kuisimamia. itabigwa ganzi kwenye suala la ufisadi na itapigwa ganzi kwenye suala la madawa ya kulevya. CCM watasimama na kusema mnaona? tuliwakamata watu kadhaa CDM ikawachukua. na chadema itatumia nguvu nyingi sana kumsafisha wema huku siku zikienda.

wema sepetu ni rafiki mkubwa wa ridhiwani. wazungu wanasema "show me your friends i will tell your character" sasa huu hamuoni kuwa ni mtego? wapinzani ni sisi sisi tumekuwa tukipigia kelele habari za watu flan. TUNAANZA KUJIPA MAJUKUMU YA

KUWASAFISHA" hii ni kazi mbaya na chafu sana.View attachment 473748

pumzi imekata kwa sasa. nimeona safai hii inazidi kuwa nzito. huyu wema alisema wafuasi wa chadema hawajielew. leo hii anasemaje? wameanza lini kujielewa? tulikuwa tunapiga kelele suala la kuwashirikisha wasanii au waigizaji katika siasa. waigizaji maisha yao yameshageuka wamekuwa waigizaji. na haya matokeo mtakuja kuyaona ka wakati wake.

Na pia inaonekana hakufanya mahesabu mazuri kuhamia ccm. hili linaweza kumgharimu na siku akirudi CCM chadema watakuwa na hard time hasa.wema is not reliable. cdm walikuwa na jackline wolper. yu wapi sasa? walikuwa na ray yu wapi sasa? hawa watu si reliable. na kwa issue hii atarudi ccm akipiga magoti kubembeleza wamchukue wamsamehe na siku hiyo cdm watakuwa na wakati mgumu sana. kitakamchomrudisha wema atasema cdm kuna ukabila,ukanda na ubaguzi. hivyo ameona ni bora arudi ccm. haya nayasema kuna siku mtayakumbuka.

"SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA"

Aggyyyyyy .....Abeeee......Njooo
 
"Unapovutiwa na asali jiandae kumkwepa nyuki"...Farid Kubanda a.k.a Fid Q...
 
Imekuwa kama kamtego ambako wapinzani hasa CHADEMA wamekuwa wakiona kama ni kulamba dume pale wale waliokosa sifa za kuwa wanachama kwa utukutu wao wa kiuharifu, ulafi wa madaraka na uovu mwingine unapofika mwisho ndani ya CCM basi wapinzani uona wao wamepata ama kweli KWAKO CHA NINI MWENZAKO NITAKIPATA LINI??[emoji12] [emoji12]

Ni mwaka juzi tu kulitokea wimbi kubwa la wafuasi wa CCM waliokosa sifa za kugombea urais na ubunge walikimbilia CHADEMA viongozi wasio ona mbali walishangilia hasa ujio wa mzee LOWASSA na makada maarufu kwa ccm ilijigamba kuwa sasa inatoa oil chafu, makapi, masalia ila wapinzani wanaojua siasa km mtaalam wangu ninayemjua ktk siasa za Tanzania dr. Slaa alikataa mkakati huo na kuamua kujiengua katika siasa za upinzani nakusema amestaafu siasa wachache tulimuelewa.

Leo hii CHDM kwa tambo na mbwembwe zote wanafurahia kuwakaribisha watu wenye tuhuma za madawa ya kulevya kama msanii maarufu Wema Sepetu bado hawaoni kosa kama kawaida yao. Kitu kimoja niwakunbushe kauli ya Dr slaa. Mumejiuliza swali kama WEMA SEPETU NI ASSET AU LIABILITY...?? Baada ya haya niwape tena ushauri mbaya fanya hima mkamchukue na MANJI swali kama ni asset au liability lifunike tuuh.

Kama ni ushamba wa siasa nchi hii pale viongozi wa siasa hasa mnaposahau kuwekeza mtaji wenu kwa ubungo mchanga na kukimbia na bongo zilizochujuka ni wazi siyo CCM au WAPINZANI tofauti yao ni ndogo katika kufanya siasa zenye tija kwa taifa. Nasema haya kwa uzoefu wa CCM tumeongoza nchi kwa 50 hamsini ila kwa vipimo vya kimaendeleo tunakwenda taratibu mno. Wapinzani wapime katika serikali za mitaa hasa halmashauri wanazoongoza tofauti yao na CCM ni ndogo au haipo.

Ushauri:

Ebu tujifunze kuunda mawazo mapya kutoka katika vizazi vipya tengenezeni vijana la sivyo uwekezaji wa miaka 50 uliotuweka hapa tulipo itakuwa shida kupata majawabu ya changamoto za tangu uhuru UJINGA, UMASIKINI, MAGONJWA(maradhi). Ref. Mwalimu Nyerere.

Ni hayo tu kwa leo...! NAIPENDA TANZANIA LEO KULIKO JANA..

Democracy Ni namba weka akilini hilo
 
Dhambi ya kumtukana na kumuita Slaa kuwa ni Dr Mihogo itawaandama milele chadema.

Wachawi, mafisadi, wauza madawa ya kulevya, wahujumu uchumi wote watajiunga Chadema.
Wewe dhambi ya kuwahi kila siku kuandika upumbavu humu itakuandama na ndo maana huolewi.
 
halafu wananiacha hoi CDM
dhoruba ikiwageukia ,wanaisafisha...
mtu mbaya akihamia kwao wanamsafisha, jambo baya likiwa kwao wanalisafisha!!!
wana-CDM hayo ni mahaba sio upinzani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

mnatia aibu sana, hakuna sababu ya kujiita wapinzani

Unaweza mtaja wa mtu mchafu aliyesafishwa na cdm? Hadi sasa Lowasa ni mtu safi maana mmeogopa kumpeleka mahakani kwa kutokuwa na ushahidi wa ufisadi wake
 
Mimi naanza na nina wengine watu kadhaa ambao pia watarudisha kadi zao mara wapatapo uhakika wa kile kinachosemwa. kuwa watu kama akina wema wamejiunga cdm. wema hakuwah kuwa mfano mzuri kwa watu wenye akili timamu. chadema kinapoteza uelekeo na misingi yake ya mwanzo.

tulipiga mbio vyema nani katuzuia? leo mtuhumiwa wa madwa ya kulevya ambaye amehama ccm kwa kuwa amepishana kimaslah au kimtizamo na watu walioko serikalini anaonekana ni mtu wa muhimu cdm? sisi makamanda wa ukweli mnatuweka wapi? wema anakuja kuidhoofisha cdm. kweli na waambia huu ni mkakati wa ccm kupitia usalama wa taifa kuidhoofisha cdm. na bado kuna wengine wa aina hiyo watakuja.

View attachment 473750

miaka kadhaa ijayo CHADEMA haitakuwa na hoja ya kuisimamia. itabigwa ganzi kwenye suala la ufisadi na itapigwa ganzi kwenye suala la madawa ya kulevya. CCM watasimama na kusema mnaona? tuliwakamata watu kadhaa CDM ikawachukua. na chadema itatumia nguvu nyingi sana kumsafisha wema huku siku zikienda.

wema sepetu ni rafiki mkubwa wa ridhiwani. wazungu wanasema "show me your friends i will tell your character" sasa huu hamuoni kuwa ni mtego? wapinzani ni sisi sisi tumekuwa tukipigia kelele habari za watu flan. TUNAANZA KUJIPA MAJUKUMU YA

KUWASAFISHA" hii ni kazi mbaya na chafu sana.View attachment 473748

pumzi imekata kwa sasa. nimeona safai hii inazidi kuwa nzito. huyu wema alisema wafuasi wa chadema hawajielew. leo hii anasemaje? wameanza lini kujielewa? tulikuwa tunapiga kelele suala la kuwashirikisha wasanii au waigizaji katika siasa. waigizaji maisha yao yameshageuka wamekuwa waigizaji. na haya matokeo mtakuja kuyaona ka wakati wake.

Na pia inaonekana hakufanya mahesabu mazuri kuhamia ccm. hili linaweza kumgharimu na siku akirudi CCM chadema watakuwa na hard time hasa.wema is not reliable. cdm walikuwa na jackline wolper. yu wapi sasa? walikuwa na ray yu wapi sasa? hawa watu si reliable. na kwa issue hii atarudi ccm akipiga magoti kubembeleza wamchukue wamsamehe na siku hiyo cdm watakuwa na wakati mgumu sana. kitakamchomrudisha wema atasema cdm kuna ukabila,ukanda na ubaguzi. hivyo ameona ni bora arudi ccm. haya nayasema kuna siku mtayakumbuka.

"SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA"

Huna lolote...

Mlipokua kua nae miaka yote hiyo alikua sio mtu makini?Kahamia Cdm tu kawa mtu unreliable?

Ccm ni makahaba
 
Alondoka zitto..akaja Dr slaa sembuse mkono wa chuma, ?nenda tu kawasalimie
 
Back
Top Bottom