Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,722
- 3,796
lablaVipi Iddi azzan na Manji nao watarudisha kadi za ccm?
lablaVipi Iddi azzan na Manji nao watarudisha kadi za ccm?
Hahahahahahahaaaaaa. Chama Cha Demokrasia na Mateja!Naona maadui wote wanaungana rasmi who is next Manji ? Gwajima ?......
Sasa Mwenyekiti wako Mbowe si ndio anatakaga mambo hayo!wanao mshauri wema kuhusu maazi .. embu mwambieni awe anavaa suruali za jinsi naona atapendeza sana hiivyo vimpira anayovaa vinamchoresha vibaya
Vita dhidi ya ngada ni ya kisiasa.walipomtaja mbowe ndio walidhihirisha kuwa ni vita ya kisiasa.
.....- Masikini ya Mungu chama kinajimaliza pole pole maana sasa ni Official kuwa Chama cha Muungano wa Watuhumiwa wa Madawa ya Kulevya, saafi sana ngoja zije kampeni tuanze kazi this is the best weapon ever!!
le Mutuz
Tatizo wasanii wetu ni wapiga deal. Ngoja tuione hii movie inakoishiaPamoja na wasaniii na waigizaji wote kuwa upande wa mama Clinton lakini walishindwa kumsaidia mama Clinton kuwa rais na pia hawakuweza kumzuia Trump kuingia ikulu na kwa Tanganyika record zinaoyesha yeyote aliyehama CCM na kwenda upinzani alikwenda kufa kisiasa sasa huyu mama muuza anakwenda kupoteza wateja huko
ungeandika tu kwa kiswahili, sasa ndio umemaanisha niniWema she knows something about DAUDI BASHITE 100%
hatakagi mambo hayo anatakaga magwanda makubwaSasa Mwenyekiti wako Mbowe si ndio anatakaga mambo hayo!