Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,003
- 31,804
Kuna wakati tunacho kujua ni tofauti na kinacho kuja
Jamhuri umeisoma jana, mkuu?- hahahahahahaha mimi nipo Sinza Mori napiga kazi siku hizi Channel yetu mpya ya Africa Swahili TV ipo Startimes Channel 121 na Azam TV Channel 120 so kazi juu ya kazi U know
le Mutuz
Yaani huuu ni zaidi ya ufarasii!
wakati rahaa ( kampeni) wanakambilia CCM tena kwa mbwembwe na kejeli kweli kweli, kwenye shida wana 'pretend' kuwa wapo CDM, binafsi nimeshangaa sana kwa Lissu kuamua kumtetea huyu 'CD' na kumkacha kamanda Lema????
Atakuwa kawekewa tu,fikiria wewe unaambiwa uende polisi siku mbili kabla kweli hata kama unavuta utaficha vizuri.Hii vita naona ina walakiniHuo ushahidi alioshikwa nao wema aliutoa wapi yawezekana mzigo ulikuwa wa mbowe ndio maana mbowe kajisogeza karibu na wema na kumpa wakili wa Chadema Tundu Lissu amtetee kwa gharama za Chadema akiogopa Wema asije mwaga ushahidi dhidi ya Mbowe. CRIME EXPERTS FUATILIENI KWA KARIBU HUU UHUSIANO WA GHAFLA WA WEMA NA MBOWE SOURCE NINI? KUNA MARRIAGE FOR MAKARATASI NJE YA NCHI kuoa AU KUOLEWA KUPATA MAKARATASI. KAZI KWENU WATAAALAAMU WA CRIME.
Ni njia yao ya kujipatia pesa. Inamaana ccm watahaha kumtoa chadema ivyo itabidi wakate pesa ndefu. Hata kwa Wolper usifikiri alihama hivi hivi alikatiwa pesa ya uhakika. Na Wema hapo anatengeneza pesa ya uhakika. Kwa mtazamo wangu haukuwa muda muafaka wa kuhama lakini labda amehama mapema ili ajenge mazingira ya kutafuta jimbo mapema kwani 2020 co mbali. Tumebaki na 2018 na 2019Huyo ana hasira tu, lkn hawezi kudumu chadema hata siku moja, kama Msanii Tanzania hawezi kuwa nje ya CCM na kutoboa, ni swala la muda tu hata yule Jackline Wolper Masawe naye alienda chadema alivyomaliza kutumika na chadema wakamtupa, akajifunza na karudi CCM!
Kwa kifupi wanatumika chadema kama karatasi choo tu, lkn muda siyo mrefu mtasikia Wema karudi Chama Dola!
J.Wolper Masawe juu alivyokwenda chadema, chini amerudi chama Dola!
![]()
Kwa maslahi yake sio ya wananchi, wakati hakabiriwi na kesi hakuona hayo maslahi kwa wananchi?Wema umechukua maamuzi mazuri tu na yenye busara yasiyo na shaka yoyote kwani ni hiyari ya mtu yoyote kujiunga na chama husika anachokiona kuwa kinafaa kwa masilahi ya wananchi
Dhambi kubwa ya Chadema ni ule mgomo wa madaktari ulioratibiwa na Chadema wakafa wagonjwa kibao marehemu huko waliko wanalilia kisasi kwa Mungu awalipe kisasi ChademaDhambi ya kumtukana na kumuita Slaa kuwa ni Dr Mihogo itawaandama milele chadema.
Wachawi, mafisadi, wauza madawa ya kulevya, wahujumu uchumi wote watajiunga Chadema.
Chandema bhana ila inaitaji maombi!"Mhhhhhhh.. Haijakaa vizuri hiyo..
Mimi naanza na nina wengine watu kadhaa ambao pia watarudisha kadi zao mara wapatapo uhakika wa kile kinachosemwa. kuwa watu kama akina wema wamejiunga cdm. wema hakuwah kuwa mfano mzuri kwa watu wenye akili timamu. chadema kinapoteza uelekeo na misingi yake ya mwanzo.
tulipiga mbio vyema nani katuzuia? leo mtuhumiwa wa madwa ya kulevya ambaye amehama ccm kwa kuwa amepishana kimaslah au kimtizamo na watu walioko serikalini anaonekana ni mtu wa muhimu cdm? sisi makamanda wa ukweli mnatuweka wapi? wema anakuja kuidhoofisha cdm. kweli na waambia huu ni mkakati wa ccm kupitia usalama wa taifa kuidhoofisha cdm. na bado kuna wengine wa aina hiyo watakuja.
View attachment 473750
miaka kadhaa ijayo CHADEMA haitakuwa na hoja ya kuisimamia. itabigwa ganzi kwenye suala la ufisadi na itapigwa ganzi kwenye suala la madawa ya kulevya. CCM watasimama na kusema mnaona? tuliwakamata watu kadhaa CDM ikawachukua. na chadema itatumia nguvu nyingi sana kumsafisha wema huku siku zikienda.
wema sepetu ni rafiki mkubwa wa ridhiwani. wazungu wanasema "show me your friends i will tell your character" sasa huu hamuoni kuwa ni mtego? wapinzani ni sisi sisi tumekuwa tukipigia kelele habari za watu flan. TUNAANZA KUJIPA MAJUKUMU YA
KUWASAFISHA" hii ni kazi mbaya na chafu sana.View attachment 473748
pumzi imekata kwa sasa. nimeona safai hii inazidi kuwa nzito. huyu wema alisema wafuasi wa chadema hawajielew. leo hii anasemaje? wameanza lini kujielewa? tulikuwa tunapiga kelele suala la kuwashirikisha wasanii au waigizaji katika siasa. waigizaji maisha yao yameshageuka wamekuwa waigizaji. na haya matokeo mtakuja kuyaona ka wakati wake.
Na pia inaonekana hakufanya mahesabu mazuri kuhamia ccm. hili linaweza kumgharimu na siku akirudi CCM chadema watakuwa na hard time hasa.
"SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA"
In reality CHADEMA wanafanya mambo ya ovyo sana.
mambo kama hayo yanafifisha upinzani...Mtu kama pole pole kesha pata point tatu za ugenini hapo.
Hongera Le Mutuz. Nataka kuanzisha kipindi binafsi cha TV naomba kujua gharama zake zikoje, taratibu na technics nyingine zinazotakiwa - Nisaidie Mkuu Le Mutuz- hahahahahahaha mimi nipo Sinza Mori napiga kazi siku hizi Channel yetu mpya ya Africa Swahili TV ipo Startimes Channel 121 na Azam TV Channel 120 so kazi juu ya kazi U know
le Mutuz
Ungekuwa na kazi nzuri ungetembelea na noah mbovu? Hadi mimi nakushinda
Nyymba yenyewe huna bwege wewe