Mwenye macho na aone
Kuna upande umeanza kuushinda upande mwingine kwa kuuambukiza upande huo tabia zake,...watu wanatolewa kwenye misingi yao na kufanywa waonekane ni walewale...kwa kifupi kinachoendelea ni kuifanya "thidiem" ifanane na "thithiem" kesho tukisimama ulingoni watu wasione tofauti kati ya A na B...B akisema A ananuka harufu mbaya basi watu watamshangaa B kwa kuwa naye ananukia vivohivyo!
TIME SAYS ALL.
Kama chama A huwa kinachaguliwa pamoja na tabia zake sioni kwa nini chama B kisiige tabia za chama A ili nacho kichaguliwe.Sera wanazopenda kusikia wananchi ndio inabidi zihubiriwe ili chama kishinde uchaguzi.
Team ya ushindi 2020 inaanza kutengenezwa.