Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Dhambi ya kumtukana na kumuita Slaa kuwa ni Dr Mihogo itawaandama milele chadema.

Wachawi, mafisadi, wauza madawa ya kulevya, wahujumu uchumi wote watajiunga Chadema.
Tutolee gundu zako tembea mbele kapambaneni na sizonje wenu huko
 
Ukiondoka wewe anakuja wema na team yake ww unaondoka mwenye ata mtani kwenu una ushawishi wa watu kumi
 
Kwanini vijana wengi wa CCM ukiwaangalia ni wale watu wamekaa kike kike, viherehere wale watu waliokuwa Wambeya shuleni mkifanya kitu kwa washapeleka kwa Uongozi.

Ukifuatilia wote kina Gambo, Mtaka,Makonda utashangaa toka primary walikuwa viherehere
 
wema kawaumiza sana ukiziona thread zilivyomwagika balaa muwe na kifua
 
Le
Mimi naanza na nina wengine watu kadhaa ambao pia watarudisha kadi zao mara wapatapo uhakika wa kile kinachosemwa. kuwa watu kama akina wema wamejiunga cdm. wema hakuwah kuwa mfano mzuri kwa watu wenye akili timamu. chadema kinapoteza uelekeo na misingi yake ya mwanzo.

tulipiga mbio vyema nani katuzuia? leo mtuhumiwa wa madwa ya kulevya ambaye amehama ccm kwa kuwa amepishana kimaslah au kimtizamo na watu walioko serikalini anaonekana ni mtu wa muhimu cdm? sisi makamanda wa ukweli mnatuweka wapi? wema anakuja kuidhoofisha cdm. kweli na waambia huu ni mkakati wa ccm kupitia usalama wa taifa kuidhoofisha cdm. na bado kuna wengine wa aina hiyo watakuja.

View attachment 473750

miaka kadhaa ijayo CHADEMA haitakuwa na hoja ya kuisimamia. itabigwa ganzi kwenye suala la ufisadi na itapigwa ganzi kwenye suala la madawa ya kulevya. CCM watasimama na kusema mnaona? tuliwakamata watu kadhaa CDM ikawachukua. na chadema itatumia nguvu nyingi sana kumsafisha wema huku siku zikienda.

wema sepetu ni rafiki mkubwa wa ridhiwani. wazungu wanasema "show me your friends i will tell your character" sasa huu hamuoni kuwa ni mtego? wapinzani ni sisi sisi tumekuwa tukipigia kelele habari za watu flan. TUNAANZA KUJIPA MAJUKUMU YA

KUWASAFISHA" hii ni kazi mbaya na chafu sana.View attachment 473748

pumzi imekata kwa sasa. nimeona safai hii inazidi kuwa nzito. huyu wema alisema wafuasi wa chadema hawajielew. leo hii anasemaje? wameanza lini kujielewa? tulikuwa tunapiga kelele suala la kuwashirikisha wasanii au waigizaji katika siasa. waigizaji maisha yao yameshageuka wamekuwa waigizaji. na haya matokeo mtakuja kuyaona ka wakati wake.

Na pia inaonekana hakufanya mahesabu mazuri kuhamia ccm. hili linaweza kumgharimu na siku akirudi CCM chadema watakuwa na hard time hasa.wema is not reliable. cdm walikuwa na jackline wolper. yu wapi sasa? walikuwa na ray yu wapi sasa? hawa watu si reliable. na kwa issue hii atarudi ccm akipiga magoti kubembeleza wamchukue wamsamehe na siku hiyo cdm watakuwa na wakati mgumu sana. kitakamchomrudisha wema atasema cdm kuna ukabila,ukanda na ubaguzi. hivyo ameona ni bora arudi ccm. haya nayasema kuna siku mtayakumbuka.

"SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA"
Acha poroja leta ushahidi, kama una una ushahidi peleka mahakamani ikiwa bado kuna kesi inaendelea kuliko kuleta porojo hapa. Akiwa CCM anakuwa msafi akihama anakuwa mchafu. Muwe mnashirikisha ubongo kufikiri tafadhali.
 
Dhambi ya kumtukana na kumuita Slaa kuwa ni Dr Mihogo itawaandama milele chadema.

Wachawi, mafisadi, wauza madawa ya kulevya, wahujumu uchumi wote watajiunga Chadema.

mama ongea na mwanao kafanikisha ushindi wa samiah suluh
 
Mimi naanza na nina wengine watu kadhaa ambao pia watarudisha kadi zao mara wapatapo uhakika wa kile kinachosemwa. kuwa watu kama akina wema wamejiunga cdm. wema hakuwah kuwa mfano mzuri kwa watu wenye akili timamu. chadema kinapoteza uelekeo na misingi yake ya mwanzo.

tulipiga mbio vyema nani katuzuia? leo mtuhumiwa wa madwa ya kulevya ambaye amehama ccm kwa kuwa amepishana kimaslah au kimtizamo na watu walioko serikalini anaonekana ni mtu wa muhimu cdm? sisi makamanda wa ukweli mnatuweka wapi? wema anakuja kuidhoofisha cdm. kweli na waambia huu ni mkakati wa ccm kupitia usalama wa taifa kuidhoofisha cdm. na bado kuna wengine wa aina hiyo watakuja.

View attachment 473750

miaka kadhaa ijayo CHADEMA haitakuwa na hoja ya kuisimamia. itabigwa ganzi kwenye suala la ufisadi na itapigwa ganzi kwenye suala la madawa ya kulevya. CCM watasimama na kusema mnaona? tuliwakamata watu kadhaa CDM ikawachukua. na chadema itatumia nguvu nyingi sana kumsafisha wema huku siku zikienda.

wema sepetu ni rafiki mkubwa wa ridhiwani. wazungu wanasema "show me your friends i will tell your character" sasa huu hamuoni kuwa ni mtego? wapinzani ni sisi sisi tumekuwa tukipigia kelele habari za watu flan. TUNAANZA KUJIPA MAJUKUMU YA

KUWASAFISHA" hii ni kazi mbaya na chafu sana.View attachment 473748

pumzi imekata kwa sasa. nimeona safai hii inazidi kuwa nzito. huyu wema alisema wafuasi wa chadema hawajielew. leo hii anasemaje? wameanza lini kujielewa? tulikuwa tunapiga kelele suala la kuwashirikisha wasanii au waigizaji katika siasa. waigizaji maisha yao yameshageuka wamekuwa waigizaji. na haya matokeo mtakuja kuyaona ka wakati wake.

Na pia inaonekana hakufanya mahesabu mazuri kuhamia ccm. hili linaweza kumgharimu na siku akirudi CCM chadema watakuwa na hard time hasa.wema is not reliable. cdm walikuwa na jackline wolper. yu wapi sasa? walikuwa na ray yu wapi sasa? hawa watu si reliable. na kwa issue hii atarudi ccm akipiga magoti kubembeleza wamchukue wamsamehe na siku hiyo cdm watakuwa na wakati mgumu sana. kitakamchomrudisha wema atasema cdm kuna ukabila,ukanda na ubaguzi. hivyo ameona ni bora arudi ccm. haya nayasema kuna siku mtayakumbuka.

"SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA"
Ni kama mke aliyeomba talaka halafu kila siku analalamika
 
Ningetamani kuona comments za watu wa Kijani wakishangilia huyu Bi dada kwenda Ufipa sababu wanasema ni 'kapi' matokeo yake Magamba wanaponda sana na mapovu yanawatoka Bi. dada kuvaa Gwanda. Nimewaelewa Magamba vizuri sana kwa hili, poleni.
 
WW siyo chadema ww sema upo CCM umekosa UDC/RC unaleta porojo hapa, embu tutokee hapa!
 
Haya mambo ya kisepetu sepetu ya kuvujisha maongezi binafsi bora chama chetu kinaondokana nayo sasa!
 
Kwani CDM ipo kwa ajili ya akina nani??Hivi kwa sababu ametuhumiwa basi hastahili kuwa Mtanzania?? Mbowe ameshutumiwa hivyo hafai kuwa CDM??
Tetty hashima sana mkuu. Anahamia Chadema kwa kuwa ameamini katika mageuzi au ni maslahi binafsi. Ikifika wakati wa kampeni ijayo akipewa dau kubwa ataacha kurudi? Mimi sishauri chama chochote cha siasa ambacho kiko serious kikumbatie watu kama hawa!
 
Wana jamvi, sina chuki wala hiana kuhusu Wema Sepetu wala Chadema.
Isipokuwa inanishangaza kama ni kweli kuwa ATAJIUNGA rasmi na chama hicho.

Je haitaleta picha mbaya wakati kesi yake ingali Mahakamani kama MTUHUMIWA?
Siombei mabaya. Suppose kesi iende otherwise, CHADEMA watajiteteaje mbele ya wananchi?

Maana itakuwa ni RAHISI sana watu wakikiita kuwa chama hicho cha Chadema KINAWAVUMILIA na KUTETEA utumiaji wa madawa ya kulevya na hivyo KUJICHAFUA.

Kwa nini wasingoje KESI IISHE kwanza.

Na Pili kama ni lazima ajiunge na chama hicho.Kwa nini basi isiwe LOW KEY EVENT bila mbwembwe na publicity? Maana hii itawagharimu.
Usisahau wengine bado wamebaki CCM kina idd na kina mtemvu na wengine wengi tu nadhan si dhambi mtu kuhamia chama anacho kitaka no matter what,
 
Ukiona manyoya ujue kaliwa..Sikia hii audio hapa chini😀😀😀😀
 
Hii awamu balaa,soon tutasikia anagombea ubunge rasmi huko kwao singida
 
....
....lumumba kimenuka
PIA MKUMBUKE YA KUWA MBOWE ALIWAHI KUKIMBIA MTEGO WALIWEKEWA MOMBASA WAKATI AKIFUATA MZIGO KIASI HA MAGAZETI KUANDIKA UKURASA WA MBELE MBOWE AWATELEKEZA DEREVA NA GARI MOMBASA NA KUKIMBILIA NAIROBI, ALIPOPATA TAARIFA YA MTEGO HUO ALIPANDA NDEGE AKAKIMBILIA NAIROBI, IKUMBUKWE NA NDIYO WAKATI HUO ILE MELI YENYE UNGA ILIKAMATWA MOMBASA HUYU JAMAA ASIJIKANYAGE ANAUZA MADAWA YA KULEVYA NA YALE YOTE ANAYOYAPATA SASA NI MALIPO YA WATOTO WA WATU ALIOWAANGAMIZA KWA MADAWA YA KULEVYA, HATA KULE KWAO MOSHI KWENYE SHULE YA KIIMATAIFA AMEWAMALIZA WATOTO WA KIZUNGU KWA MADAWA YA KULEVYA ANAYOYASAMBAZA KUPITIA KWA AJENTI WAKE MMOJA, HATA HICHO CHEO ALICHONACHO BUNGENI HAFAI KUWA NACHO WAMEREKANI AMBAO WATOTO WENU WAMEATHIRIKA HIVI WAKO WAPI?
 
Mimi naanza na nina wengine watu kadhaa ambao pia watarudisha kadi zao mara wapatapo uhakika wa kile kinachosemwa. kuwa watu kama akina wema wamejiunga cdm. wema hakuwah kuwa mfano mzuri kwa watu wenye akili timamu. chadema kinapoteza uelekeo na misingi yake ya mwanzo.

tulipiga mbio vyema nani katuzuia? leo mtuhumiwa wa madwa ya kulevya ambaye amehama ccm kwa kuwa amepishana kimaslah au kimtizamo na watu walioko serikalini anaonekana ni mtu wa muhimu cdm? sisi makamanda wa ukweli mnatuweka wapi? wema anakuja kuidhoofisha cdm. kweli na waambia huu ni mkakati wa ccm kupitia usalama wa taifa kuidhoofisha cdm. na bado kuna wengine wa aina hiyo watakuja.

View attachment 473750

miaka kadhaa ijayo CHADEMA haitakuwa na hoja ya kuisimamia. itabigwa ganzi kwenye suala la ufisadi na itapigwa ganzi kwenye suala la madawa ya kulevya. CCM watasimama na kusema mnaona? tuliwakamata watu kadhaa CDM ikawachukua. na chadema itatumia nguvu nyingi sana kumsafisha wema huku siku zikienda.

wema sepetu ni rafiki mkubwa wa ridhiwani. wazungu wanasema "show me your friends i will tell your character" sasa huu hamuoni kuwa ni mtego? wapinzani ni sisi sisi tumekuwa tukipigia kelele habari za watu flan. TUNAANZA KUJIPA MAJUKUMU YA

KUWASAFISHA" hii ni kazi mbaya na chafu sana.View attachment 473748

pumzi imekata kwa sasa. nimeona safai hii inazidi kuwa nzito. huyu wema alisema wafuasi wa chadema hawajielew. leo hii anasemaje? wameanza lini kujielewa? tulikuwa tunapiga kelele suala la kuwashirikisha wasanii au waigizaji katika siasa. waigizaji maisha yao yameshageuka wamekuwa waigizaji. na haya matokeo mtakuja kuyaona ka wakati wake.

Na pia inaonekana hakufanya mahesabu mazuri kuhamia ccm. hili linaweza kumgharimu na siku akirudi CCM chadema watakuwa na hard time hasa.wema is not reliable. cdm walikuwa na jackline wolper. yu wapi sasa? walikuwa na ray yu wapi sasa? hawa watu si reliable. na kwa issue hii atarudi ccm akipiga magoti kubembeleza wamchukue wamsamehe na siku hiyo cdm watakuwa na wakati mgumu sana. kitakamchomrudisha wema atasema cdm kuna ukabila,ukanda na ubaguzi. hivyo ameona ni bora arudi ccm. haya nayasema kuna siku mtayakumbuka.

"SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA"

Mkuu democracy ni namba weka akilini hilo
 
Back
Top Bottom