Haha.. a.k.a joka la kibisahuna madhara
Ya wolper yaache hapa tunaongelea Wema usitutoe kwenye MadaNi njia yao ya kujipatia pesa. Inamaana ccm watahaha kumtoa chadema ivyo itabidi wakate pesa ndefu. Hata kwa Wolper usifikiri alihama hivi hivi alikatiwa pesa ya uhakika. Na Wema hapo anatengeneza pesa ya uhakika. Kwa mtazamo wangu haukuwa muda muafaka wa kuhama lakini labda amehama mapema ili ajenge mazingira ya kutafuta jimbo mapema kwani 2020 co mbali. Tumebaki na 2018 na 2019
Ulichoandika kingekuwa kweli lusinde asingemshinda malecela kwenye kura za maoni.Ccm inawenyewe jamani unathani profesa j Leo angekuwa ccm angeipata iyo nafasi ya kugombea ubunge au sugu? Ccm kama baba yako alikuwa kiongozi hapo sawa utapata nafasi ya uwongozi kinyume na hapo uwe mkongwe kwenye chama au uwemtu wa kujipendekeza kufunga viatu vya wakubwa.karibu wema
Hongera Le Mutuz. Nataka kuanzisha kipindi binafsi cha TV naomba kujua gharama zake zikoje, taratibu na technics nyingine zinazotakiwa - Nisaidie Mkuu Le Mutuz
Washauri wa CHADEMA nina watilia shaka! Au mbowe kamonopolize power yote..! Sina uhakika kama prof. Baregu anakubaliana na hizi cheap politics..Dhambi ya kumtukana na kumuita Slaa kuwa ni Dr Mihogo itawaandama milele chadema.
Wachawi, mafisadi, wauza madawa ya kulevya, wahujumu uchumi wote watajiunga Chadema.
Bas pole.. kunywa maji kidogoKiukweli inabidi uwe na akili ya maiti kuishabikia chadema ya sasa.....
Yaani ni kama upinzani umerudi miaka ishirini nyuma.
CCM imepoteana lakini Chadema haijielewi.
Yaani sasa hivi hawana kabisa hoja za kitaifa zaidi ya kutafuta kiki kama wasanii wa bongo movie.!
Mkuu mimi Upinzani upo kwenye genes zangu na daima naamini katika mabadilko.Ila nasikitika chama ambacho walau kina nguvu upinzani nacho kina kengeuka.wewe unalijua hilo kwa kuwa bado unatumia akili zako sawa sawa kuna wenzangu ambao walishaacha kufikiri hawa utawaona hapa wanakuja na matusi hata hoja hawana. wema ni liability si mtu wa kumuamini hata kidogo. atachafua sana chama.
Bado zamu yako ikifika utaomba tu kujiunga na chadema. Huko nyuma zipo taarifa kuwa hata mwenykiti wako mmoja aliwahi kufikiria kujiunga nao kipindi kile cha mizengwe. Marehemu spika alifanya kabisa mazungumzo na Dr Slaa kuhusiana na jambo hilo hilo na wala si mara moja. Yatakapokufika mwenyewe utajileta, na utapokelewa tu kwani utakuwa umekwishatubu.Mimi naanza na nina wengine watu kadhaa ambao pia watarudisha kadi zao mara wapatapo uhakika wa kile kinachosemwa. kuwa watu kama akina wema wamejiunga cdm. wema hakuwah kuwa mfano mzuri kwa watu wenye akili timamu. chadema kinapoteza uelekeo na misingi yake ya mwanzo.
tulipiga mbio vyema nani katuzuia? leo mtuhumiwa wa madwa ya kulevya ambaye amehama ccm kwa kuwa amepishana kimaslah au kimtizamo na watu walioko serikalini anaonekana ni mtu wa muhimu cdm? sisi makamanda wa ukweli mnatuweka wapi? wema anakuja kuidhoofisha cdm. kweli na waambia huu ni mkakati wa ccm kupitia usalama wa taifa kuidhoofisha cdm. na bado kuna wengine wa aina hiyo watakuja.
View attachment 473750
miaka kadhaa ijayo CHADEMA haitakuwa na hoja ya kuisimamia. itabigwa ganzi kwenye suala la ufisadi na itapigwa ganzi kwenye suala la madawa ya kulevya. CCM watasimama na kusema mnaona? tuliwakamata watu kadhaa CDM ikawachukua. na chadema itatumia nguvu nyingi sana kumsafisha wema huku siku zikienda.
wema sepetu ni rafiki mkubwa wa ridhiwani. wazungu wanasema "show me your friends i will tell your character" sasa huu hamuoni kuwa ni mtego? wapinzani ni sisi sisi tumekuwa tukipigia kelele habari za watu flan. TUNAANZA KUJIPA MAJUKUMU YA
KUWASAFISHA" hii ni kazi mbaya na chafu sana.View attachment 473748
pumzi imekata kwa sasa. nimeona safai hii inazidi kuwa nzito. huyu wema alisema wafuasi wa chadema hawajielew. leo hii anasemaje? wameanza lini kujielewa? tulikuwa tunapiga kelele suala la kuwashirikisha wasanii au waigizaji katika siasa. waigizaji maisha yao yameshageuka wamekuwa waigizaji. na haya matokeo mtakuja kuyaona ka wakati wake.
Na pia inaonekana hakufanya mahesabu mazuri kuhamia ccm. hili linaweza kumgharimu na siku akirudi CCM chadema watakuwa na hard time hasa.wema is not reliable. cdm walikuwa na jackline wolper. yu wapi sasa? walikuwa na ray yu wapi sasa? hawa watu si reliable. na kwa issue hii atarudi ccm akipiga magoti kubembeleza wamchukue wamsamehe na siku hiyo cdm watakuwa na wakati mgumu sana. kitakamchomrudisha wema atasema cdm kuna ukabila,ukanda na ubaguzi. hivyo ameona ni bora arudi ccm. haya nayasema kuna siku mtayakumbuka.
"SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA"