Msanii wa Ghana Shatta Wale agomea show kwa $200,000 baada ya kugundua Diamond kalipwa $600,000 (Tsh Bilioni 1.5) na Davido $500,000 (Tsh Bilioni 1.3)

Msanii wa Ghana Shatta Wale agomea show kwa $200,000 baada ya kugundua Diamond kalipwa $600,000 (Tsh Bilioni 1.5) na Davido $500,000 (Tsh Bilioni 1.3)

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
935
Reaction score
3,014
Tumezoea kusikia wasanii wa nchi kama Kenya wakilalamika wasanii wa nje kulipwa zaidi yao lakini hawaiachi pesa iende, Huko Ghana hali imekuwa tofauti, bilionea aliita wasanii watoe burudani kwenye Birthday yake, msanii maarufu wa Ghana alipogundua wasanii wa nje wamelipwa zaidi yake alirudisha pesa zote kwa tajiri.

Msanii maarufu wa Ghana Shatta Wale amerudisha kiasi cha $200,000 (Tsh Milioni 532+) alicholipwa kwa ajili ya kutumbuiza kwenye sherehe ya bilionea Richard Nii Quaye.

Ni baada ya kugundua kupitia vyanzo vyake makini kuwa Diamond Platnumz alilipwa $600,000 (Tsh Bilioni 1.5) na Davido alilipwa $500,000 (Tsh Bilioni 1.3) kwa sherehe hiyo hiyo, huku yeye akilipwa kiasi cha $200,000

Hii ni baada ya show, Diamond aliwamwagia Dola dancers wake wa Ghana, Noti moja ya dola 100 ni zaidi ya shilingi laki 2 na nusu.



Habari zinazotrend mitandao ya Ghana na Nigeria Diamond na Davido kulipwa mkwanja mrefu.



1742925886394.png


1742916025488.png


1742916064306.png


1742916095010.png
 
Ukifuatilia kwa umakini utakuta kuna hela ilikua imefichwa mahali inatakatishwa kupitia wasanii.. huyo mtu kumlipa msaani wetu bilioni 1.5 akanengue mahali ni kitu hakipo.


Hivi mnaijua bilion nyie?
Hizi stori zenyewe hazipo zimelenga kututoa kwenye siasa za Mpox na Ebola.

Mondi alipwe 1.5bn kwa kuimba Wasafi tungeziba hadi masikio
 
Wanaijeria yani sio watu wakuwaamini ukiishi nao kukutapeli nikugusa walisha ni pulusa japo ni kirudi tutamalizana wakiniita JOMBA.
 
Back
Top Bottom