Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,687
- 15,614
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amewasili Accra, Ghana, kwa ajili ya kutumbuiza kwenye sherehe ya kuzaliwa ya bilionea maarufu wa nchi hiyo, Richard Nii Armah Quaye.
Kwa mujibu wa Baba Levo, Diamond amelipwa kiasi cha shilingi bilioni 2.7 za Kitanzania kwa ajili ya kutumbuiza katika hafla hiyo ya kifahari.
Tukio hilo limewaleta pamoja mastaa wakubwa wa Afrika, akiwemo msanii wa Nigeria, Davido, na watu mashuhuri wengine wa bara hili.