Msajili wa Vyama vya Siasa ahoji CHADEMA kuwafukuza Mdee na wenzake 18. CHADEMA wajibu kuwa hawawezi kutoa maelezo kwa Msajili

Hizi dalili naona wale Covid watakaa bungeni mpaka wamalize miaka yao mitano.
 
ndugu Kigaila umekosea sana, ulipaswa ujibu barua ya Msajili wa vyama kwani tunajua kuwa Msajili ndio mlezi wa vyama vingi, hivyo anapo pokea au kusikia malalamiko ya wanachama wenu unatakiwa kimsingi ujibu hoja sio kukwepa hoja.
Jambo la kina Mdee na wenzake linajulikana wazi kabisa huna haja ya kumkejeli na kumpotezea muda Msajili eti unamtaka aambatanishe barua ya malalamiko ya kina mdee!!!
viongozi wetu tunawaomba mjifunze ustaarabu na uungwana.
Mnataka kutumia ile sheria feki mliyotunga ili kuingilia maamuzi ya KK ya Chadema, wacheni utoto wenu mmeshashtukiwa mapema.
 
Hizi dalili naona wale Covid watakaa bungeni mpaka wamalize miaka yao mitano.
una pata wapi ujasiri wa kumuita Kamanda Mdee na makamanda wenzake eti ni Covid?!
hujui kama hao mnao waita covid 19 wanauwezo wa kuiteketeza kabisa chadema?
tuwe wapole, hao mnao waita covid hadi sasa wamekuwa wastaarabu sana bado hawajaamua kutema cheche dhidi ya Mwenyekiti.

Mdee akiamua kuibomoa chadema anahitaji dk30 tu kummaliza mwenyekiti na kundi lake.
 
Hii mikwara yako mbuzi tafuta pakuipeleka.
 
ndugu Kigaila umekosea sana, ulipaswa ujibu barua ya Msajili wa vyama kwani tunajua kuwa Msajili ndio mlezi wa vyama vingi, hivyo anapo pokea au kusikia malalamiko ya wanachama wenu unatakiwa kimsingi ujibu hoja sio kukwepa hoja.
Jambo la kina Mdee na wenzake linajulikana wazi kabisa huna haja ya kumkejeli na kumpotezea muda Msajili eti unamtaka aambatanishe barua ya malalamiko ya kina mdee!!!
viongozi wetu tunawaomba mjifunze ustaarabu na uungwana.
viongozi wetu wa chadema acheni tabia ya kudharau mamlaka.
Mutungi hana mamlaka aliyojipa kuingilia mchakato unaoendelea ndani ya Chadema, huyu mhuni ni wa kupuuzwa tu.
 
una pata wapi ujasiri wa kumuita Kamanda Mdee na makamanda wenzake eti ni Covid?!
hujui kama hao mnao waita covid 19 wanauwezo wa kuiteketeza kabisa chadema?
tuwe wapole, hao mnao waita covid hadi sasa wamekuwa wastaarabu sana bado hawajaamua kutema cheche dhidi ya Mwenyekiti.

Mdee akiamua kuibomoa chadema anahitaji dk30 tu kummaliza mwenyekiti na kundi lake.
ujasiri ni huuu.tena wale ni kuku wasio kuwa na kizazi cha kutaga
 
una pata wapi ujasiri wa kumuita Kamanda Mdee na makamanda wenzake eti ni Covid?!
hujui kama hao mnao waita covid 19 wanauwezo wa kuiteketeza kabisa chadema?
tuwe wapole, hao mnao waita covid hadi sasa wamekuwa wastaarabu sana bado hawajaamua kutema cheche dhidi ya Mwenyekiti.

Mdee akiamua kuibomoa chadema anahitaji dk30 tu kummaliza mwenyekiti na kundi lake.
Hao malaya wenzako hawana uwezo huo,kama walishindwa wakati wa yule dhalim aliyeibaka demokrasia wataweza sasa?
 
Huyo mtungi ni kama umbile la mtungi. Bado uwendawazimu wa awamu ya 5 haujamtoka. Huenda ataishi nao mpaka siku yake ya mwisho ya kuwa hapa Duniani.
 
..Msajili wa vyama vya siasa anadai Chadema imewafukuza uanachama Halima Mdee na wenzake.

..Wakati huohuo Halima Mdee na wenzake wanaendelea kuhudhuria vikao na kushiriki shughuli za bunge.

..Je, suala hili limekaaje KISHERIA?

..Je, kitendo cha Halima Mdee na wenzake kukata rufani ya kufukuzwa kwao uanachama hakiwaondolei uhalali wa kuendelea kushiriki vikao na shughuli za bunge?
 
Ndiyo hapo hawa vibwengo wanavyozidi kujichanganya. Kauli ya Mutungi kuwa hao covid 19 wamefukuzwa inapingana na ya Ndungai anayedai kuwa wale ni wanachama wa Chadema. Ndiyo shida ya kuwa na viongozi wenye mafaili Mirembe.
 
..Msajili wa vyama vya siasa anadai Chadema imewafukuza uanachama Halima Mdee na wenzake.

..Wakati huohuo Halima Mdee na wenzake wanaendelea kuhudhuria vikao na kushiriki shughuli za bunge.

..Je, suala hili limekaaje KISHERIA?

..Je, kitendo cha Halima Mdee na wenzake kukata rufani ya kufukuzwa kwao uanachama hakiwaondolei uhalali wa kuendelea kushiriki vikao na shughuli za bunge?
Yaani kuna uwendawazimu wa hali juu. Huyo mtungi tunaambiwa eti ni jaji, labda kama na yeye ni jaji kichaa. Hatujawahi kusikia mtu aliyehukumiwa kuacha kutumikia hukumu kabla ya hukumu kutenguliwa ja chombo cha juu zaidi. Ni maajabu ya Tanzania tu!
 
Huyo huwa halei vyama
Bali huwa anachonganisha uongozi wa vyama na mwanachama.
Rejea CUF
Mwanachama ana udhamini na Msajili au Na chama kilichosajiliwa?
Unavilea vipi vyama vinavyokuja kuonekana nyakati za uchaguzi.
IPO SIKU TUTAINGIA AUTOMATIC KWENYE VURUGU KWA KUKIUKA SHERIA/KANUNI

Hasira za watu zikiwadhuru watu ambao wanawadharau wananchi Huyo Mlezi atajitokeza?

Kama mwananchi kamati kuu mkikaa muwe pia na agenda yakuwafungulia mashitaka hao Covid 19.
Watu walivyo na hasira nao nadhani watachangia kuwalipa mawakili.
Tafadhali muwe na azimio lakuwashitaki tujuwe moja
Hakuna haja ya kuhangaik nao Mahakamani. Dunia itawachapa viboko.
 
Haaaa .nawashauri chadema wa muulize msajiri hivi. Lin CCM waliotoa maelezo baada ya kumfukuza membe ? Jambo la Pili .nawatahadharisha hao wabunge 19. Kama serkari ili amriwa irudishe fain Walizo lipa viongozi wa chadema .Sasa na hao wabunge wajiandae kurudsha pesa zote walizopokea toka bungen tangu wafutwe uanachama
 
Back
Top Bottom