Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,716
- 218,263
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Francis Mutungi, ambaye ni Msajili wa Vyama vya Siasa, leo amebahatika kukutana na viongozi wa CHADEMA. Ikiwa ni masaa machache kabla ya Chama hicho kuvurumisha Oparesheni 255 Kanda ya Serengeti.
Bado haijafahamika yaliyojadiliwa kwenye kikao hicho.
Mungu Ibariki CHADEMA
Bado haijafahamika yaliyojadiliwa kwenye kikao hicho.
Mungu Ibariki CHADEMA