Msajili wa Vyama vya Siasa ahoji CHADEMA kuwafukuza Mdee na wenzake 18. CHADEMA wajibu kuwa hawawezi kutoa maelezo kwa Msajili

Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,715
2,000
ndugu Kigaila umekosea sana, ulipaswa ujibu barua ya Msajili wa vyama kwani tunajua kuwa Msajili ndio mlezi wa vyama vingi, hivyo anapo pokea au kusikia malalamiko ya wanachama wenu unatakiwa kimsingi ujibu hoja sio kukwepa hoja...
Baba yako akikufukuza unaenda kushitaki kwa msimamizi wa ndoa ya baba yako?

Baba yako hana ndugu wa ukoo wanaojua tamaduni zenu za familia
 

Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,715
2,000
Mtungi kama huwa ananadi Sera za vyama amalizane nao waliopeleka malalamiko.

Chadema walishamaliza mchezo kikatiba ya chama.

Baraza nikubariki nakutoa amri yakushitakiwa kwa uhaini kwa chama.

Waanze kuomba kinga kwa ndugai yakutoshitakiwa.

Hakafu huku mitaani tutawashitaki popote walipo
 

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,524
2,000
Hakika inashangaza Sana Kuona kila CHADEMA inapowafukuza Uanachama WANACHAMA.

wake Kama Sio MSAJILI wa VYAMA basi TUME ya UCHAGUZI Au BUNGE linawawekea KIFUA.

MWAKA juzi tulishuhudia WABUNGE kina MWAMBE licha ya kutangaza ktk VYOMBO vya HABARI kuwa Katoka CHADEMA na kujiunga na CCM Bado SPIKA.

wa BUNGE Aliendelea Kumtambua kama MBUNGE wa CHADEMA.

na Akaendelea kuwa BUNGENI na KULIPWA POSHO na MISHAHARA.

Leo HALIMA MDEE na GENGE lake Wamefukuzwa CHADEMA.

kwa Mujibu wa KATIBA ya CHADEMA Ambayo hata MSAJILI wa VYAMA Anayo lakini Eti Anawauliza CHADEMA kwanini WAMEWAFUKUZA.

Nadhani file Mahali MSAJILI wa VYAMA ,SPIKA na TUME ya UCHAGUZI fanyeni kazi zenu kwa Kuzingatia Sheria za Nchi na Sio KUTUMIKA KUVIUA VYAMA vya UPINZANI.

Ndio maana Wananchi Tunataka KATIBA MPYA
 

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
12,250
2,000
Yana Mwisho haya
Sisi CHADEMA tunasema tukishindwa tunamuachia Mungu
Atawajibu kama alivyomfanya yule Mzee Fashisti
 

ILISACHA

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
553
1,000
una pata wapi ujasiri wa kumuita Kamanda Mdee na makamanda wenzake eti ni Covid?!
hujui kama hao mnao waita covid 19 wanauwezo wa kuiteketeza kabisa chadema?...

Peleka uongo huko Meko kamkaba mbowe kila kona lakini mbowe hajatetereka sembuse COVID-19 we vp
Dola imesumbua chadema lakini wapi COVID-19 ndo atoboe?
Never ever
 

tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
13,359
2,000
Mbowe hawezi kuwafukuza mademu zake haposhida ni kwa wengine walioshindwa kuingiza mademu zao chadema ni li chama la hovyo kuwahi kutokea duniani
Chama kimejaa vichaa sema hamjuani kua wote ccm vichaa
tapatalk_1626121136163.jpeg
 

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
2,876
2,000
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo kikiwa kwenye maandalizi ya Baraza Kuu, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amekitaka kitoe maelezo ya kina kwa nini kiliwafukuza uanachama wanachama wake 19 ambao ni wabunge wa viti maalumu...
Lingine bila kupoteza mda msajili, awaulize pia hao 19 wanaojiita wabunge, walifikaje bungeni, wakati form zao walizotakiwa kujaza, zipo ofisin zinaoza, na walizojaza walitoa WAPI, ??

KWA msajili,
Tume,
Au walizikuta bungeni moja KWA moja na kujaza, na muhuri wa katibu mkuu na saini yake walifoji vipi, hapo atapa maamuzi yaliyo vyema mbele za Mungu, sio mbele ya mwanadam
 

Prince Kunta

JF-Expert Member
Mar 27, 2014
18,686
2,000
Hivi huyu Mtungi ni msajili wa vyama wa kudumu? Muda wake haujakwisha au anataka mpaka wananchi wenye hasira kali wakamshtakie kwa Mungu?
 

Katavi yetu

JF-Expert Member
Jul 30, 2018
1,120
2,000
Si mlimutaka mama samia awatimue,haya yamefikia wapi? Vipi utawala wa sheria mliounadi eti umerejea
 

Godo

JF-Expert Member
Apr 11, 2017
345
500
Huo ubabe na mfumo dume unaonyeshwa wazi wazi kabisa watu fulani kukosa ubunge imekuwa nongwa wakataka hadi yule dada wa Mpanda Katavi amechaguliwa na wananchi vizuri eti asiende bungeni na kitu kingine hayo majina ya wabunge 19 ofisi ya tume ya uchaguzi yalifikaje kama sio chama kilichopeleka halafu mnataka wasiende kuapishwa na baadae mnasema sio wanachama wenu,

huu ni ubinafsi na ukiukwaji mkubwa wa haki za wanawake katika kushiriki shughuli za kisiasa.Bunge lisimamie msingi wake wa kutoingiliwa na mtu au taasisi yoyote katika utekelezaji wa shughuli zake.
 

tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
13,359
2,000
Huo ubabe na mfumo dume unaonyeshwa wazi wazi kabisa watu fulani kukosa ubunge imekuwa nongwa wakataka hadi yule dada wa Mpanda Katavi amechaguliwa na wananchi vizuri eti asiende bungeni na kitu kingine hayo majina ya wabunge 19 ofisi ya tume ya uchaguzi yalifikaje kama sio chama kilichopeleka halafu mnataka wasiende kuapishwa na baadae mnasema sio wanachama wenu, huu ni ubinafsi na ukiukwaji mkubwa wa haki za wanawake katika kushiriki shughuli za kisiasa.Bunge lisimamie msingi wake wa kutoingiliwa na mtu au taasisi yoyote katika utekelezaji wa shughuli zake.
Kwema huko,naskia mic huwekwa sikioni,shida ya msajili nae chizi kama aliemteua....sio maneno yangu dialo ndio kasema
tapatalk_1626121136163.jpeg
 

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
4,182
2,000
Chadema siyo chama Cha kwanza kufukuza wanachama wake. Bernard K. Membe alipofukuzwa CCM hatukusikia msajili wa vyama vya siasa akiitaka CCM itoe maelezo kwa Nini imemfukuza membe. Sheria zifuatwe bila upendeleo. Kwa Nini chadema leo?...
Ofisi ya msajili Ina matatizo makubwa sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom