Msajili wa Vyama vya Siasa ahoji CHADEMA kuwafukuza Mdee na wenzake 18. CHADEMA wajibu kuwa hawawezi kutoa maelezo kwa Msajili

Watakuwa waliambiwa na Ndugai waende kwa msajili maana wanatapatapa, wajinga kweli badala ya kwenye mahakamani wao wamefuata maelezo ya Ndugai
Hahahaaa!! Huyu Halima Mdee utadhani hakusoma chuo kimoja na Tundu Lisu chini ya Mwalimu Prof Pakamagamba Kabudi.
 
Kimsingi yule jaji ni mtungi tu kama jina lake lilivyo, ofisi ile tangu aondoke John Bill Tendwa imepwaya sana huyo mtungi sijui chungu hajawahi kuwa na akili , yaani majaji wa sikuhizi wa new tarrifs hawa hamna kitu kabisa
 
ohhh.
Mdeee akiamua kupiga ngumi kwenye mshono, ngumi mmoja tu mwenyekiti na chadema yake itasambaratika.
ila bado hajaamua, anawasikilizia.
 
Kinachochelewesha hilo baraza kuu kukaa na kulimaliza hili suala once and for all ni nini hasa?
 
Huyu vipi katoroka lini Mirembe?
nyie ndiyo mnatakiwa mirembe maana hamjui hata mnachokifanya mbowe anajuwa dili yote ya hao kina dada nyie mmebaki tu kushabikia wapumbavu nyie kaeni hivyohivyo mwenzenu anakula ruzuku na mademu anawatafuna nyie mnakalia kupiga kelele jf
 
Kinachochelewesha hilo baraza kuu kukaa na kulimaliza hili suala once and for all ni nini hasa?
wanajuwa uhuni walioufanya ndiyo maana wanajifanya kuchelewesha mpaka itafika ule mwaka mwenyekiti kasema anaacha uenyekiti
 
Huo ubabe na mfumo dume unaonyeshwa wazi wazi kabisa watu fulani kukosa ubunge imekuwa nongwa wakataka hadi yule dada wa Mpanda Katavi amechaguliwa na wananchi vizuri eti asiende bungeni na kitu kingine hayo majina ya wabunge 19 ofisi ya tume ya uchaguzi yalifikaje kama sio chama kilichopeleka halafu mnataka wasiende kuapishwa na baadae mnasema sio wanachama wenu,

huu ni ubinafsi na ukiukwaji mkubwa wa haki za wanawake katika kushiriki shughuli za kisiasa.Bunge lisimamie msingi wake wa kutoingiliwa na mtu au taasisi yoyote katika utekelezaji wa shughuli zake.
ndugai mbona kawaweza sana hawa vilaza yaani walipeleka majina halafu baadae wakaona wamekosea wanajifanya kuyakataa mnyika anajuwa aliyapeleka hayo majina wanachofanya sasahivi ni uhuni tu ambao spika ameshawashtukia ndiyo maana kamahawawatambui kwanini hawajapeleka wanaowatambua?
 
Hongera CHADEMA kwa kuwatolea uvivu wahafidhina ,yaani hakikisheni mnakula nao sahani moja,mkiogopa watawavua nguo zote.
 
Mdee ndio kombora la maangamizi kwa chadema, anasubiria wakati muafaka tu achomoe betrii,
hao mnao waita covi 19, kweli ni covid watapuputisha chama chote.
Mwenyekiti analijua hilo fika.
chonde chonde kaeni mezani muyamalize pamoja.
 
Usitukosee heshima wavuta bangi, huyo hatumtambui ana shida zake mwenyewe
Anahusika hapa
FB_IMG_1626338666883.jpg
 
Kinachochelewesha hilo baraza kuu kukaa na kulimaliza hili suala once and for all ni nini hasa?
Chama kinakwenda na kalenda,
Baraza kuu ni wajumbe wengi sana wanakuja kubariki uamuzi wa kamati tendaji.
Walishindwa kufika kuhojiwa na wachache wakiogopa usalama wao sasa watakuwa tayari kuhojiwa na wengi.
Aliyewadanganya kuingia kwenye uhuni ule hayupo.
Wangejua wangejiudhuru nakushuhudia umafia ulivyofanyika.
 
Chadema siyo chama Cha kwanza kufukuza wanachama wake. Bernard K. Membe alipofukuzwa CCM hatukusikia msajili wa vyama vya siasa akiitaka CCM itoe maelezo kwa Nini imemfukuza membe. Sheria zifuatwe bila upendeleo. Kwa Nini chadema leo?

Hata Magufuli alimpofukuza uanachama Sophia Simba na wenzake plus kumvua Ubunge msajili hawajawai kuwaambia CCM watoe maelezo ya kwanini waliwafukuza ndo maana tunasema tunataka Katiba Mpya ambayo haitaruhudu Msajili wa Vyama vya Siasa kuteuliwa na Rais.
Hao uliowataja kutokea CCM walipofukuzwa hawakwenda kwa msajili kulalamika.
Covid 19 walienda kulalamika ndio maana Benson anasema wamekata rifaa kisha wakaenda kwa msajili
 
Back
Top Bottom