Msafara wa Makamba wamwagiwa mchanga FFU waingilia-Singida

Mkuu Mwafrika Wa kike,

Heshima mbele, hata siku moja sijawahi kutishika mkuu, huo u-moderator wako haunitishi hata siku moja mkuu, ya PM ni ya PM, huwa hata siku moja mambo ya siri kwenye Pm, huwa siyaweki hapa na ninayo mengi tena sana mkuu,

Kwenu wewe na Lunyungu, ninachosema ni kwamba hata siku moja msimamo wangu hapa hautabadilika, Sherehe ya mama Migiro, nilihudhuria kama wa-bongo wengine wote nikiwa NY, Muungwana akiwa huko pia nilikuwepo kushiriki kwenye futari, Yes I said it, lakini sikumbuki kusema kuwa ninaishi Ny, au mahala popote duniani, maana haibadilishi hata kitu kimoja katika mawazo yangu, au labda nitaogopa na kuwafuata mawazo yenu, hiyo haitakuja kutokea!

Inaonekana hatuwezi kuukwepa unazi hapa, mnaweza kuendelea nao, lakini mimi hata siku moja nitaendelea na taifa, unazi hata siku moja, kama ni kutumia huo u-moderator wako kutaka kunitisha nafikiri unaelewa hilo mkuu, jawabu lake ni simple msimamo wangu siku zote ni ule ule, hakuna mtu yoyote hapa anyekatazwa kuandika anything kwenye PM, ila nimeshitushwa na huu mchezo mpya wa Lunyungu akisaidiwa na wewe, nilijua kuwa it is only a matter of time, kabla hujajitokeza mwenyewe, karibu mkuu nipo, na siendi kokote na sibaidili msimamo hata siku moja,

Viongozi wa CCM wamezomewa, na pia kiongozi mmoja wa upinzani, amezomewa, hizo ni fact hakuna opinion, mimi ni mwanachama wa CCM tena hai, and proud of it, CCM chama changu kina matatizo mengi ya uongozi mbovu, kutokana na kuwa na baadhi ya viongozi wabovu hilo sina tatizo kukubali, na ninaamini kuwa as a nation tunahitaji mabadiliko ya katiba na kisiasa, ili kuimarisha demokrasia tuliyonayo tayari, na kwenye sitalala hata siku moja mpaka kieleweke, lakini kwenye unazi au kubadilika kwa sababu ya kutishiwa na ID, au anything, hata siku moja!

I am here to stay wakuu, siendi kokote wala sibadiliki!

hata wewe mkuu humtishi yeyote kwa hiyo we are all here to stay kama vile JF ilivyo here to stay bila kujali mbinu za watu kuanza kuipondea ili kuiharibu.

Utakachoamua kufikiria kuhusu mimi it is up to you. You dont know who I am na ninachofanya hapa JF.

All I know ni kwamba wewe umejaribu kudisclose ID za watu kutumia PM (most of the time ukiwa wrong) na I stand by what I said. Historia yangu hapa nimekuwa nakuheshimu na nitaendelea kukuheshimu. Otherwise ukitishia kutoa ID za watu basi you are very welcome coz most people can play that game!
 
Mkuu wangu nimekusikia, yaani yote uliyosema na mimi ni hivyo hivyo sitishiki na u-moderator wako, na mimi pia ninakuheshimu sana, ila siwezi kutishiwa ili niongee lugha tofauti au ya wale wanaonitisha hapana, tena haitakuja kutokea, ya PM ni PM, ndio maana ikaitwa Private Message, maana yake ni PRIVATE,

Wewe kuna yanayokuweka hapa forum, so na mimi vile vile mkuu, nina sababu tena nzito sana mkuuu ya kuwepo hapa, nayo ni taifa langu, ID zangu ni nothing ogopa mawazo yangu ya kutaka maendeleo na mabadiliko kwa taifa langu, kwenye hilo sina unazi wala chama!

Heshima mbele mkuu na tuendelee kukata ishu!
 
Heshima pia mkuu,

Nimekuelewa katika hili na nitaendelea kukeep private chochote ulichosema in Private. Naomba pia nikukumbushe kuwa sijawahi, sitaki, na sina uwezo na nguvu ya kuwa mods maana siwezi kubeba lawama.

Asante kwa kuelewana kuhusu ID za watu na nakuahidi tena heshima kama ile niliyokuwa nayo kwako mbeleni.
 
Naomba pia nikukumbushe kuwa sijawahi, sitaki, na sina uwezo na nguvu ya kuwa mods maana siwezi kubeba lawama.

Nimnekusikia mkuu, na heshima mbele!

Ninachokataa ni unazi wa vyama kujaribu kuhalalishwa hapa na kutulazimisha wote kujiunga na huo unazi, huku taifa likiteketea, na sidhani kama kuna mwananchi mjinga Tanzania ya leo, anayeweza kuamini CCM tu ndio wanaofanya propaganda za siasa, lakini upinzani hawafanyi, kwamba ati CCM wanaweza kuwakodi wananchi kwa ajili ya shughuli za siasa, lakini upinzani hawawezi na huwa hawafanyi, haya ni maneno unatakiwa kuwaambia watoto wa chekechekea, au huko forum za huko vichochoroni, hapa tupo watu wazima tunaojua fika mstakabali wa taifa letu, kuwa sasa hivi liko njia panda,

Kuhusu PM yangu mkuu, nilishafahamishwa siku nyingi kuhusu kuingiwa, lakini sina sababu yoyote ya kuogopa ndio maana huwa ninafanya shughuli zangu huko PM, kama kawaida na wala huwa siogopi, na nitaendelea kuitumia mkuu, as much as I feel, maana sheria ni ile ile unatoa info, unapata info, kwamba kuna mtu anapelekewa info na nwengine kutoka PM, hiyo ni zuga tu werevu tunaijua siku nyingi, ndio maana toka Jumapili iliyopita tulikuwa tunaruka ruka pembeni sio kwamba tulikuwa hatujui kinachoendelea, ila tu thenk God kuwa yamejitokeza hadharani, nani wanaosaidia unazi hapa forum!

kuhusu kutoa ID za watu hapa forum sijawahi hata siku moja, kama kuna mchezo wowote unaoutaka kuucheza concerning ID wewe ucheze ila mimi nitaujibu tu, lakini kitendo cha kujaribu kujifanya kujua location za wajumbe wa hii na kuzitoa hapa ni ujuha na utoto, na wala sio ustaarabu, ninasikitika kuwa katika maneno yote nayosema huonyeshwi kuskikitishwa na hilo, kwenye PM ninaweza kusema anything, ndio maana ya Private Mesaage box!, na ndio maana huwa ninaitumia ninavyotaka kwa kujua kuwa kuna majuha wanaoingia huko, sasa yote hadharani!

Na I stand on my words kuwa wewe ni moderator, unayeingia kwenye PM zetu, na pia unaharibu mijadala hapa kwa manufaa yako binafsi!

Heshima mbele, na ninaamini mwenye macho haambiwi ona yaliyojiri hapa kwenye hii topic, mchele na pumba umejiachia wenyewe, tulijua kuwa maneno mazito ya Jumapili yamekuna mtu!

Ahsante Wakuu!
 
Mkuu wangu nimekusikia, yaani yote uliyosema na mimi ni hivyo hivyo sitishiki na u-moderator wako, na mimi pia ninakuheshimu sana, ila siwezi kutishiwa ili niongee lugha tofauti au ya wale wanaonitisha hapana, tena haitakuja kutokea, ya PM ni PM, ndio maana ikaitwa Private Message, maana yake ni PRIVATE,

Wewe kuna yanayokuweka hapa forum, so na mimi vile vile mkuu, nina sababu tena nzito sana mkuuu ya kuwepo hapa, nayo ni taifa langu, ID zangu ni nothing ogopa mawazo yangu ya kutaka maendeleo na mabadiliko kwa taifa langu, kwenye hilo sina unazi wala chama!

Heshima mbele mkuu na tuendelee kukata ishu!

ES naomba ukae kimya mkuu !! tafadhali !!
 
Back
Top Bottom