Msaada wa kutatua changamoto ya Whatsapp yangu

Sasa wewee kufanya huduma ya video calls na bado hujui mbinu?

Uwe unauliza waja wakupe ABC za kudukua pesa za wanaume waroho wa maku.
Sasa ukastukiwa mwanetuu? 😂😂😂
Nani alikwambia nafanya huo ujinga

Au na wewe nikuweke pia kwenye list ya hawa nay sayers? Hivi nyie furaha yenu humu ni kutafta attention ama?
 
Tatizo sio simu KK namba zingine Zina fanya kazi vizuri.. Ni hii ilopigwa ban tu, nataka ni jaribu kwenye device nyingine nione
Tatizo lako ni mbishi haya endelea kubisha, hilo tatizo nimeshawahi kutumia hadi Ai ya whatsapp kwa email wanakufundisha jinsi ya kutatua. Njia zote hadi kureset simu zilidunda. Ila namba hiyohiyo iliyofungwa ilipotumika simu nyingine iliikubali.

Tulifungua akaunti nyingine na hiyo simu nayo ikapigwa ban vilevile,. Hadi mwenye simu kabadili
Nakushauri rudisha dukani kama bado ni mpya na ina warantii ukiipeleka ikachokonolewe wataikataa.

Yangu ni hayo tu, utaamua unavyotaka wewe.
Mimi nilikuwa na app mbili moja ilikuwa official... Walinifungia kwenye unofficial ila hii official iko salama mpaka sasa.

Hii ilofungwa ndo imegoma hadi kwenye official
Futa unofficial app na hadi mafile yake yote kwenye simu yako. Upande wa logs files. Ukijaribu kuingia hizo log files ndiyo zinafanya uzuiwe
 
Tatizo lako ni mbishi haya endelea kubisha, hilo tatizo nimeshawahi kutumia hadi Ai ya whatsapp kwa email wanakufundisha jinsi ya kutatua. Njia zote hadi kureset simu zilidunda. Ila namba hiyohiyo iliyofungwa ilipotumika simu nyingine iliikubali.

Tulifungua akaunti nyingine na hiyo simu nayo ikapigwa ban vilevile,. Hadi mwenye simu kabadili
Nakushauri rudisha dukani kama bado ni mpya na ina warantii ukiipeleka ikachokonolewe wataikataa.

Yangu ni hayo tu, utaamua unavyotaka wewe.

Futa unofficial app na hadi mafile yake yote kwenye simu yako. Upande wa logs files. Ukijaribu kuingia hizo log files ndiyo zinafanya uzuiwe
Log files napata wapi? Maana caches zoote nimefuta
 
Nani alikwambia nafanya huo ujinga

Au na wewe nikuweke pia kwenye list ya hawa nay sayers? Hivi nyie furaha yenu humu ni kutafta attention ama?
Attention natafuta mie au wewee? Nani aliyepigwa Ban kisa Ids nyingi, za kufanyia uchakaramu hapa JF?
poleee 😂😂😂
 
Unajua hata kilicho tokea wewe. Nilikwambia unitumie PDF ulopewa na Lamomy ni hakiki hukutuma sasa unajifanya unajua the whole thiing
 
Back
Top Bottom