Msaada wa kutatua changamoto ya Whatsapp yangu

Msaada wa kutatua changamoto ya Whatsapp yangu

Ni takriban karibu mwezi umepita account yangu ya Whatsapp ipigwe ban ila najaribu ku log in inaleta hii message.
View attachment 3640398

Nilisha wa tumia email mpaka basi wanasema ni download version original ila bado changamoto iko pale pale

Je watakuwa wamenipga ban mazima?

Kuna mtu kashawahi pata changamoto ya namna hii?

Mwenye kujua namna ya kutatua anisaidie.
Wape namba nyingne wateja wako wa video call kwa 3k
 
Mnatafuta nini kwenye hizo unofficial apps kama sio uhalifu tu? Wasifungue kiendelee kukuramba.
Hamna wengine tu napenda customization na ile look tu.
 
Tatizo ni eidha simu au namba yako.

Ikiwa ni simu unaweza kubadili na ukaendelea kupata huduma, ikiwa ni namba yako kwasababu uliviolate terms zao kwa kutumia unofficial WhatsApp au kutumia vibaya mtandao wao hapo imekula kwako badili namba tu hawataifungua.
Duuh kwa hiyo ndo umekula kwangu?
 
Kama hiyo simu bado ina warantii arudishe dukani tu, anadilishiwe
Tatizo sio simu KK namba zingine Zina fanya kazi vizuri.. Ni hii ilopigwa ban tu, nataka ni jaribu kwenye device nyingine nione
 
Back
Top Bottom