Tatizo lako ni mbishi haya endelea kubisha, hilo tatizo nimeshawahi kutumia hadi Ai ya whatsapp kwa email wanakufundisha jinsi ya kutatua. Njia zote hadi kureset simu zilidunda. Ila namba hiyohiyo iliyofungwa ilipotumika simu nyingine iliikubali.
Tulifungua akaunti nyingine na hiyo simu nayo ikapigwa ban vilevile,. Hadi mwenye simu kabadili
Nakushauri rudisha dukani kama bado ni mpya na ina warantii ukiipeleka ikachokonolewe wataikataa.
Yangu ni hayo tu, utaamua unavyotaka wewe.
Futa unofficial app na hadi mafile yake yote kwenye simu yako. Upande wa logs files. Ukijaribu kuingia hizo log files ndiyo zinafanya uzuiwe