Msaada wa kutatua changamoto ya Whatsapp yangu

Tatizo ni simu hapo ukitumia simu ingine itakubali huwa wanafunga baadhi ya simu zenye uwezo mdogo na hazina usalama wa kulinda taarifa zako kwa end to end user..
 
Tatizo sio simu KK namba zingine Zina fanya kazi vizuri.. Ni hii ilopigwa ban tu, nataka ni jaribu kwenye device nyingine nione
Tatizo lako ni mbishi haya endelea kubisha, hilo tatizo nimeshawahi kutumia hadi Ai ya whatsapp kwa email wanakufundisha jinsi ya kutatua. Njia zote hadi kureset simu zilidunda. Ila namba hiyohiyo iliyofungwa ilipotumika simu nyingine iliikubali.

Tulifungua akaunti nyingine na hiyo simu nayo ikapigwa ban vilevile,. Hadi mwenye simu kabadili. Nakushauri rudisha dukani kama bado ni mpya na ina warantii ukiipeleka ikachokonolewe wataikataa.

Yangu ni hayo tu, utaamua unavyotaka wewe.
 
Tatizo ni simu hapo ukitumia simu ingine itakubali huwa wanafunga baadhi ya simu zenye uwezo mdogo na hazina usalama wa kulinda taarifa zako kwa end to end user..
Sasa mbona namba zingine zinafanya kazi?
 
Tatizo lako ni mbishi haya endelea kubisha, hilo tatizo nimeshawahi kutumia hadi Ai ya whatsapp kwa email wanakufundisha jinsi ya kutatua. Njia zote hadi kureset simu zilidunda. Ila namba hiyohiyo iliyofungwa ilipotumika simu nyingine iliikubali.

Tulifungua akaunti nyingine na hiyo simu nayo ikapigwa ban vilevile,. Hadi mwenye simu kabadili. Nakushauri rudisha dukani kama bado ni mpya na ina warantii ukiipeleka ikachokonolewe wataikataa.

Yangu ni hayo tu, utaamua unavyotaka wewe.
Mimi nilikuwa na app mbili moja ilikuwa official... Walinifungia kwenye unofficial ila hii official iko salama mpaka sasa.

Hii ilofungwa ndo imegoma hadi kwenye official
 
Back
Top Bottom