😃😃😃Hadi WhatsApp wamekuchoka wamekulamba ban 😹😹
Itakuwa uliwadanganya jinsia yako wakakushtukia 😹
😃😃😃Hadi WhatsApp wamekuchoka wamekulamba ban 😹😹
Itakuwa uliwadanganya jinsia yako wakakushtukia 😹
Ah bahati mbaya mm sina demu humu 😂Kwenye id yake nyingine demu wako huyu ujue 😹😹
Vibuyu to the world 😅😅Kwenye id yake nyingine demu wako huyu ujue 😹😹
😅😅😅 huyo ndo de gunnerWe chalii umeshindikana BAN kotee 😅😅
Humu bado sijawasoma vizuri.Kwa nini usielekeze hizoo nguvu humu pia
Nilisha acha kuingilia uhuru wa watu mimiHumu bado sijawasoma vizuri.
Kuna watu kama Dr. Mariposa Culture Me na cocastic
Wanakuja halafu wanajikataa, hawajiweki waziwazi ili na wengine tuingize rasmi jeshi la kukemea mambo ya kifirauni
hakuna uhuru kwenye kusagana na kufirana.Nilisha acha kuingilia uhuru wa watu mimi
Hapo kilichopigwa ban ni number ya simu, badilisha namba ya simu,Ni takriban karibu mwezi umepita account yangu ya Whatsapp ipigwe ban ila najaribu ku log in inaleta hii message.
View attachment 3640398
Nilisha wa tumia email mpaka basi wanasema ni download version original ila bado changamoto iko pale pale
Je watakuwa wamenipga ban mazima?
Kuna mtu kashawahi pata changamoto ya namna hii?
Mwenye kujua namna ya kutatua anisaidie.
Hapana hamna issue yoyote mbaya ni kuwa wana system ya ku sense Un official apps alafu wanazifunga. Niligungua hilo baada ya kusoma terms and conditionsHapo kilichopigwa ban ni number ya simu, badilisha namba ya simu,
1. Kwa sababu hiyo number ya simu unayojaribu kujiunga tayari uliisajiri kule kwenye unofficial WhatsApp.
2. Yawezekana kuna matukio ulikuwa unayafanya, kisha watu waka kureport meta.
Yes, Namba yako iko blacklisted, so ni ngumu kutumia namba hiyo tena. Soln ni Kubadili numberHapana hamna issue yoyote mbaya ni kuwa wana system ya ku sense Un official apps alafu wanazifunga. Niligungua hilo baada ya kusoma terms and conditions
si kweliHakika ila maamuzi ni yao, huwezi kumfanya mtu aache kitu Kama hajaamua. Ni sawa na mlevi tu
Yes, ila Ukija kuangalia kuna watu wao kazi yao ni kufuata mikumbo.. Na wanadainya kuwa kama mtu haimletei madhara na ni uhuru wake basi asihukumiwesi kweli
unafikiri wanaojaza mimba wanafunzi wangesema waachwe tu hali ingekuwaje ?
ndio maana kuna watu wa magereza wapo kwa ajili ya kazi hiyo.
Koma kunitag tagHumu bado sijawasoma vizuri.
Kuna watu kama Dr. Mariposa Culture Me na cocastic
Wanakuja halafu wanajikataa, hawajiweki waziwazi ili na wengine tuingize rasmi jeshi la kukemea mambo ya kifirauni
nimekutag mara ngapi ?Koma kunitag tag
Koma kunitag kwenye upuuzi wakonimekutag mara ngapi ?