Hakuna mwendokasiSio tandalee😂
Ulidhalilika sema unajikaza tu, Ids zote kuunganishwa sio mchezoAisee how does someone gets angry on a fake ID?? 😂 (yaan kama vile sikula ban)
Wamefanyaje? 😂😂😂Ila wadada😂😂💔💔
Hiyo hiyo unayoijua wewee, 😂😂😂uraia ipi bwashee ?
Haya fanya kunipa wewe sasa hilo PDF.Unajua hata kilicho tokea wewe. Nilikwambia unitumie PDF ulopewa na Lamomy ni hakiki hukutuma sasa unajifanya unajua the whole thiing
Kwani ilikuaje? Na em taja Ids zilizoungwa, nilipitwaje na mkasa huu mzito. ALOOOH.Ulidhalilika sema unajikaza tu, Ids zote kuunganishwa sio mchezo
😂😂😂 acha uoga, wee lete hilo PDF.Si unayo hiyoo amini uaminilo tu. Maana hata nikikupa yangu bado utaibadilisha ifiti motives zako😂
C ndo kama hivo mtu anakutumia picha , masnap kibao mtoto kawaka kama Marie Antonienette yule malkia wa Ufaransa miaka ya 1875, cku unakutana nae mtu yupo kama dude baya😂😂😤😤😡😡Wamefanyaje? 😂😂😂
Kumbuka vizuri na ulimuahidi kumnyonya 🍑 akaitikia sawa kwa manjonjo 😹😹😹Ah bahati mbaya mm sina demu humu 😂